Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zamani ndiyo kulikuwa na wachezaji, wanatisha sana. Siku hizi madogo wanashiba sifa zinawalewesha.
Ukiangalia vzr aliyekuwa anacheza ni kocha sio wachezaji.

Inapofikia kocha anakuwa mdg Kwa kajichezaji kama pogba.ujue mwisho umefika ndio watafukuzwa Sana.

Roy Keane alikuwa mkorofi hajawah kugombana na Ferguson kazini.
 
wale wakina paul scholes ndio wanaoyumbisha timu kwa taarabu zao huyu hamtak konte yule anamtaka mara uwanja ujengwe timu zingine hawanaga midomo kocha anafanya kazi yake
Kwani kina Scholes wana uwezo wa kufanya maamuzi gani pale United ?

Ni sawa na mashabiki tu sasa wana impact gani kwa kufeli kwa uongozi wa United ?
 
Siku ya furaha ni kesho wakuu msinune kwa kukosa furaha kitambo najua mlimisi ku enjoy.
Hizi wiki mbili dunia imeishi kwa shida sana, watu hawana furaha kabisa.
Kukaa zaidi ya siku 15 bila kuiona Manchester uwanjani hua ni mateso makubwa sana kwa walimwengu.
 
Mafanikio makubwa kabisa ya Van Gaal yalikuwa 2003 kuchukua champions league na Barcelona baada ya hapo ilikuwa 2010 kufika finali ya UEFA na Bayern baada ya kukaa na timu kwa miaka 6 kama sikosei usahihi wa Van Gaal kwa United ni upi ?

Van Gaal ndiye aliyeuza zaidi ya nusu ya wachezaji wa United na kusajili wachezaji ambao ukiondoa Blind wengine wote walikuja kuorodheshwa kama liability na klabu, usahihi wake ulikuwa ni upi ?

Mourinho alikuwa mwalimu sahihi kwa United chini ya uongozi usio sahihi.
 
dah
kwakweli tumepitia kipindi kigumu kweri kweri kukosekana kwa Manchester kutoonekana uwanjani watu wameishi kwa tabu sana hizi wiki 2 tuachane na ilo.


Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.


Manchester 3 Leicester 1
 

Amka kutoka usingizini, utajikojolea.
 
“ Tumeshinda mataji 11 kwenye misimu minne na hilo watu wanaweza kukataa,

lakini majirani zetu hawajashinda kitu na wamekuwa na mashabiki wengi sana kwenye mji mmoja na kumekuwa na mshindi mmoja na pia wametumia sana hela,”
Aymeric Laporte,”
 
Hakuna kocha anayetamani ku manage hiii timu Tena ,nan aje kwenye mid table timu ...mtazidi kupata average manager mpaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…