Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sipendi manure ashinde ila napenda Ronaldo akifunga
Sasa Ronaldo aweka rekodi ya dunia kwa historia ya soka kufunga magoli mengi kuliko mchezaji yeyote anayecheza soka na aliyewahi kucheza soka. Magoli 807 nadhani zaidi ya pele, maradona, mesi nk
Pele akuhit 1000?
 
Mkuu unajichosha bure tu wa shabiki wa man city wengi ni wajuzi tu hapo man city yenyewe daraja imepanda elfu7 sasa pana shabiki hapo hawa madogo utoto mwingi aangalie man united kwanza hii cite ya mwaka gani na city site yao ni ya mwaka gani usijitese bure uyo dogo ni zero grain
Mimi sijui sana kuhusu mashabiki kujaza uwanja, ila kwa sisi wenye mabanda umiza mechi za Manchester untd ndio huwa zinaingiza kiasi kikubwa kutokana na wingi wa watazamaji

Sasa najiuliza kuna nini timu haifanyi vizuri ila watazamaji wake hawachoki kutazama timu yao ikicheza
 
Wengi hawakuona. Mpira alioupiga Fred umefunikwa na Magoli ya CR7 wakati mojawapo ya magoli hayo kuna assist ya Fred tena ya kiwango sana.
Noma mno
20220312_235957.jpg
 
Yaan nyie mabata mnachekesha Sana ushindi wa Jana kwa totenham mbovu mnajiona mpo top4 tayari

Juz TU hapa mmekaa mech 4 mfululizo bila ushindi na mkala bomba 4 kwa city

Je mngekuwa mnashinda Kama city au liver nadhana tungekuwa hatunywi maji

Salah debruine wiki kwa will wanafunga Wala hatusikii kelele

Huyo babu yenu kaotea 3 kelele tupu

Arsenal kazen tuwapeleke Hawa paka conference league

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
We're living the moment! United fans are the happiest in the world while their club is not doing well. Ask yourself, why?

Enjoy it while it lasts.
 
Wanakuambia Ronaldo nje aanze Elanga, inasikitisha sn.
Hao hawana akili, naona cr7...kawarudisha kwenye reli na akiendelea katika ubora huu, top 4 guaranteed na kikubwa itahitajika MUMFUNGE ARSE8 ili kulower temper on 4th Spot!!!

Screenshot_20220313-115506.jpg
 
Kocha mpya asipokuja na mpango wa kutafuta kiungo wa chini mkali kama prime Matic ili ampeleke Fred juu sitamuelewa kabisa.

Fred akicheza juu,huku nyuma yake kukiwa na mtu anafanya mambo basi huwa anacheza kwa class ya juu sana..it's about time tulione hili.kuwachezesha pair na mtu kama McTominay ni upuuzi tu.

Rangnick nadhani ameona hilo..several times amemsogeza mbele na hii imesaidia amepata assists na magoli kadhaa chini ya muda Rangnick aliokaa klabuni.
 
Back
Top Bottom