Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,320
Elanga aingieRashiford hana umuhimu wowote kwenye timu... First half ameitumia kudhurula tu.
Elanga aingieRashiford hana umuhimu wowote kwenye timu... First half ameitumia kudhurula tu.
Pogba na Rashiford wanawachosha wenzao.... Rashiford anamchosha Dalot...Elanga aingie
Man of the match ya NiokoMaguire is man of the match![]()
Labda leo kocha ndio atauona ubovu wa Magwaya... Maana mashabiki anaona tunapiga majungu the captainMaguire nae kapata goli, mbaya sana



Ni mchezaji ambaye anaikost sn timu almost ktk kila mechi sema ndiyo hivyo hatuna cha kumfanya isitoshe ndiyo captain aisee.Magwaya ameamua kumlipa Ronaldo...
Hili suala la kumdiscus kuhusu uwezo wake tulishaacha now imebaki kwamba hapaswi kucheza UTD, ibaki hivyo.Nadhani bei yake na uzungu unambeba.