OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
hahahaha cheki hii takataka sasa ..kesho munapakuliwa kinamna ili mukose hata kucheza europa😂😂😂😂We mbwa Koko unatafuta nini huku usiku getoni kwa masela ,, leo mmepiga bomu mochwari mnajisifia mmeua
Miaka ya hivi karibuni unakumbuka lini kutufunga kwenye ligi hapo emptyhad?.
Ole kila akija 3 points zilikuwa secured..
Sina pressure kabisa.
Leo unajifanya una undugu na Manu u[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nyumbu leo ushindi muhimu kama bado mnaitaka top 4
Leo unajifanya una undugu na Manu u[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe na huyo huyo burnley ulitoka nae ngapi ngapi?We mbwa Koko unatafuta nini huku usiku getoni kwa masela ,, leo mmepiga bomu mochwari mnajisifia mmeua
Umeona mziki wa Chelsea mzee babaYani uwezi amini jamani nachokiona huku kila napopita watu ni kutabasamu[emoji16][emoji16] tu ukiuliza kunani neno ni moja tu kwa kila mtu.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furahaaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Chelsea wana mziki gani?? Kumfunga Burnley timu mbovu ile ndy unawasifia?Umeona mziki wa Chelsea mzee baba
Mimi nataka kwenda Conference league next season.Nyumbu leo ushindi muhimu kama bado mnaitaka top 4
Sisi United hatutaki Liverfool achukue ubingwa kupitia mgongo wetu Leo The Citizens wanashindaOle inabidi ampe mbinu Rangnick ya kumpiga Pep leo pale emptyhad..
Ole alikuwa anatuwekea tu kiberenge James,bishoo Martial,na kijana mjinga Rashford na City wanakaa vizuri tu..Pep kazi kukuna tu upara ule.
Big test for Rangnick today.
Sisi United hatutaki Liverfool achukue ubingwa kupitia mgongo wetu Leo The Citizens wanashinda
Mimi nataka kwenda Conference league next season.
Sio wote
Nyumbu leo mnashinda uhakika.mechi ya leo inabidi tumlaze mtu na viatu