Umenchekesha sana alooHUYU POGBA HATARI SANA.. NI WA DUNIA NYINGINE, AKILI KUBWA SANAAA














UnajisikiajeSijui sasa hivi una hali gani.......... ongeza maombi may mnaweza kuongeza.







Sancho amenifurahisha sn leo.sancho ni![]()
Kijana amekua na anafiti sasaSancho amenifurahisha sn leo.
DJ hajafunga goal katoa assistIla wakuu mmeona lile goli la DJ?? mtoto wetu wenyewe katufunga goli tamu sana![]()
Asante mkuu kafunga RaphinhaDJ hajafunga goal katoa assist
hizi mechi za hivi karibuni dogo ame gain formSancho amenifurahisha sn leo.
Sure, dunia nzima imefurahi, furaha iendelee...Siku ya furaha ni leo na Dunia nzima furaha imetaladadi kila napopita watu wana tabasamu.
Manchester United inacheza leo na Dunia yote ina furaha.![]()
Sancho is our best player kwa sasa, baada ya De Geabado mnasema sancho tumepigwa ? ila bora kocha huyu mana rashford kwa ole angecheza tu kila mechi hata aaribu vipi
