Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,352
Umeangalia match kweli?Ila wakuu mmeona lile goli la DJ?? mtoto wetu wenyewe katufunga goli tamu sana![]()
Umeangalia match kweli?Ila wakuu mmeona lile goli la DJ?? mtoto wetu wenyewe katufunga goli tamu sana![]()
United furaha inakuja....ngonj tuuze wachezaji wabovu then tulete vimodaUnajisikiaje![]()
Juma4 hamchelew kuanza kumtukanaSancho anaanza kuonyesha yale ya Dortmund.
Nafurahia hilo tu.
MshaanzaSancho is our best player kwa sasa..![]()
Yah ndiyo tumeanza ligi now.Mshaanza
Nauo ndo ukweli kwani nasema uongo ndugu zangu.Tukiwa tuasema 'Manchester United ikicheza dunia nzima ina furaha' kuna watu wanahisi tunatania. Cheki Ayling alivyotabasamu. Yeye mwenyewe kakubali ile mipasi mpaka goli.View attachment 2125603
Halipingiki hiloNauo ndo ukweli kwani nasema uongo ndugu zangu.
Wewe ni kichaa??Tofauti ya point kati ya man utd na manchester city baada ya michezo 26 kila mmoja ni point 17 tu!
We are among the title contenders again after finding our form.
Huu ni mtizamo wangu,naomba uheshimiwe tafadhali.
Spurs ana point 39 na viporoo vitatu meanz akitokea kuwin vyote atakuwa na point 48.Man UTD atashuka chini,Spurs atapanda juu bilA kumsahau gunnerz pia ana viporoo vitatu now ana point 42 akiwin viporoo vyote anakuwa na 51.Tofauti ya point kati ya man utd na manchester city baada ya michezo 26 kila mmoja ni point 17 tu!
We are among the title contenders again after finding our form.
Huu ni mtizamo wangu,naomba uheshimiwe tafadhali.
Hii ni asset ,next season atakuja kivingine keep watching....!Grealish ni mtumishi hewaView attachment 2126683
Kazi ipo, huu uzi utakuwa busy sana week zinazokuja, wachambuzi, makocha, walalamikaji, wapinzani, mashabiki n.k wote watahamia hapaKazi tunayoView attachment 2126682

Unavijua viporo vya Arsenal mpka ashinde vyote ?Spurs ana point 39 na viporoo vitatu meanz akitokea kuwin vyote atakuwa na point 48.Man UTD atashuka chini,Spurs atapanda juu bilA kumsahau gunnerz pia ana viporoo vitatu now ana point 42 akiwin viporoo vyote anakuwa na 51.
Spurs ana kiporo na Arsenal hesabu zako haziwezekaniSpurs ana point 39 na viporoo vitatu meanz akitokea kuwin vyote atakuwa na point 48.Man UTD atashuka chini,Spurs atapanda juu bilA kumsahau gunnerz pia ana viporoo vitatu now ana point 42 akiwin viporoo vyote anakuwa na 51.