Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamefloap lakini wanaleta makombe makubwa makubwa.
 
Upo serious kabisa, unamlinganisha mtu mwenye miaka 37 na huyo salah mwenye miaka 29....hajafika

Ronaldo akiwa na 29 alikuwa na goals 60 assist 18 ndani ya game 57.....

By the way salah ana Ballon D'or ngapi hadi sahizi anamiaka 29??
Huyo jamaa kajidhihirisha kwamba yeye ni kiazi muda mwingine Bora kukaa kimya
 
Najua timu hii ina matatizo mengi..lakini nimeamua kuangalia basics tu..

✓Ronaldo jana alikuwa anaharibu kila flow of play anapojumuishwa kwa kupewa pasi..hawezi kuturn hawezi kupiga pasi nzuri kwa wenzake...sasa mashambulizi yatatokea vipi?...Ronaldo amezeeka next season tujipange..kocha mwenye akili akija usitegemee Ronaldo ndo awe our main no 9.

Kuna game hutegemei sana hata ubora wa kocha kushinda..ndo maana hata kipindi cha Ole tulikuwa na brilliance moments kibao tu na run nzuri ya form..lakini hili liliwezeshwa na wachezaji kucheza basics(kucheza above average).

Again..Maguire,Shaw,Ronaldo wameshindwa kufanya vitu basic mchezoni..na wanachangia pakubwa kwenye matokeo yetu na hivi karibuni.
 
Before Rangnick CR7 alifunga magoli 12 ndani ya mechi 16,Since Rangnick ameingia timu inafunga magoli machache sana
timu nzima imepoteza confidence kuanzia defence,midfield ,foward kwa sasa mchezaji anayecheza vizuri ni De Gea peke yake
Wachezaji wanafanya makosa mengi sana na timu inacheza vizuri first half ,second half timu nzima inakufa kabisa angalia mechi 5 zilizopita ,kukosekana kwa Greenwood kumepunguza option ya washambuliaji kama Cavani/Greenwod wangekuwepo jana CR7 angetolewa sub .Our main striker CR7 & Cavani ni wazee sio wachezaji wa kucheza EPL kila wiki ,All in all management ya United imetengeneza matatizo mengi sana ,it was mistake kuwa na Cavani na CR7 kwa wakati mmoja
 
shawberto carlos, diogo dalot, pogba na scott.
hadithi ile ile
View attachment 2118496
View attachment 2118497
Mechi zote hizo mbili kama Shaw angetuliza mat*ko zingekuwa offside badala yake kafanya watu wawe onside. Kuanzia mechi ijayo inatakiwa Maguire na Shaw wakae bench.

Umakini ndiyo kitu mabeki wetu wanakosa. Mtu mwingine wa kuangalia ni Dalot ni heri acheze Bissaka kwa hali tuliyonayo kama tuna uwezo wa kufunga goli moja tu kila mechi basi tunahitaji watu wa kulilinda.
 
Spurs wanashikishwa adabu nyumbani.
Sasa hapo ndiyo United walipaswa ku-take full advantage kwasababu Spurs ana game nyingi mkononi kwa wao kushinda ila ndiyo kama mlivyoona 4 points dropped kwa Burnley na Soton.
 
Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..

Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.

Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;

Ronaldo

Shaw

Maguire
Ronaldo huyu huyu ambaye Ni mfungaji bora wa serie a , msimu uliopita? Huyu huyu aliekuwa akifunga karibu Kila mechi alipokuwa na Ole? Kutakuwa na Matatizo mengine makubwa zaidi. Ronaldo huyu anaweza akatoka kwenda timu nyingine , akakushangaza..
 
Sasa hapo ndiyo United walipaswa ku-take full advantage kwasababu Spurs ana game nyingi mkononi kwa wao kushinda ila ndiyo kama mlivyoona 4 points dropped kwa Burnley na Soton.
Wolves wakishinda kiporo wanatufikia ngoja tuone perfomance yetu kwenye big match next month
 
Upo serious kabisa, unamlinganisha mtu mwenye miaka 37 na huyo salah mwenye miaka 29....hajafika

Ronaldo akiwa na 29 alikuwa na goals 60 assist 18 ndani ya game 57.....

By the way salah ana Ballon D'or ngapi hadi sahizi anamiaka 29??
Hata huyo Ronaldo wa miaka 29, ukimleta saa hizi kwa kocha mkufunzi wa akina TT, angeonekana uozo tu . Anyway, man u Kuna Matatizo makubwa , lakini kwa Nini ukubwa wa Matatizo umeongezeka mwaka huu? Kumbuka mwaka Jana tukiwa na Ole, angalau tuliongoza epl kwa muda wa miezi kadhaa, tukaambulia nafasi ya pili, na Europa tukaambulia fainali. Hapo kina Rashford , Fernandez na Martial walikuwa mastaa. Hata magwaya hakuruhusu magoli mengi Kama ilivyo siku hiI, yaani Kila mechi jamaa lazima atoe Boko, mbona mwaka Jana kulikuwa na clean sheet za kutosha ilihali Magwaya pia alicheza mechi za kutosha? Hebu tutafakari upya..
 
Yes Ronaldo ni mchezaji mkubwa ila usitake kumtetea wakati anakosa each game clear chance kibao afu useme ni coach
Angalia game tatu izo zilizo pita magoli wanayokosa wa$€ng£ wa mbele kule sasa tatzo la mkufunzi liko wap apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…