Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namcheki Van de beek anakiputa ile mbaya, Manure mlimnyima nafasi
 
Ndio maana timu yangu Chelsea
Haipendi kusajili wachezaji mabishoo, Huu utaratibu wao nimeupenda sana
Ronaldo si mchezaji bishoo ila umri umekwisha mtupa mkono, 37 now unadhani atafanya nini la maana uwanjani....wamuuze tu.
 
Hii timu inatia huruma sana.

The way inavyocheza ni kama vile haina kocha.

Mabeki na viungo, viungo na mafowadi hawana muunganiko wowote ule.

Bado enough wachezaji hawako committed,Wengi wao wanawaza salary tu.
 
Kwa namna Ronaldo anavyoua build up na chances kadhaa nachelea kusema usajili wake utanisupprise sana kama atafanya maajabu yoyote.The best alimuona kama mwarobaini wa matatizo yetu lakini kwa sasa hoja yangu ya 5 na 6 bila shaka inaanza kuonyesha dhahiri
 
By the way nimefurahishwa sana na taarifa kuwa Ralf anavutiwa zaidi na Patrick Schick.

Man United inamhitaji zaid Patrick Schick kuliko Halland kwanza anapatikana kwa bei poa tu lakini ana link up play nzuri kuliko Halland, ni long range shooter mzuri, anatumia miguu yote japo anapenda kutokea kushoto.
 
m
mchezaji akae na mpira dakika nzima😂

ila ronaldo ni mzigo kwa ujumla
 
Nyie Nyumbu njooni muangalie wanaume tunamkaza Norwich huku, shenzi kabisa.

3 goals & counting
 
Mchezaji anaweza kukaa na mpira dakika moja akiwa nje ya uwanja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…