Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Angalia replay utaona Dalot ana kimbia mdogo mdogo hana Habari. Maguire hana speed akipitwa Ngumu ku recover, move kama zile ndio Bissaka alikuwa akituokoa. Na Mc tominay na Shaw pia wana makosa yao.Lile goli angekua bissaka au linderof angeweza asifunge ila maguire hata kulala simple tu kumemshinda kampisha hata kumpush kidogo basi dah bichwa lile.
Limetunyima ushindi jana maana limekaa offside tumekataliwa goli limeshindwa kukaba tumefungwa.
Hili timu ni ngumu kupoint kosa la mtu mmoja mmoja kwa jinsi linavyocheza.Angalia replay utaona Dalot ana kimbia mdogo mdogo hana Habari. Maguire hana speed akipitwa Ngumu ku recover, move kama zile ndio Bissaka alikuwa akituokoa. Na Mc tominay na Shaw pia wana makosa yao.
Cheki hii video muangalie Dalot
View attachment 2114078
Tatizo ole kasajiliwa Ronaldo badala ya Midfielder, kuna source nyingi zinaonesha Ronaldo si chaguo la ole.Ole asingemsajili Ronaldo mpaka sasa angekuwa ni kocha wa Man United.
Without a dought..Ole asingemsajili Ronaldo mpaka sasa angekuwa ni kocha wa Man United.
Paka na mbwa wa kibongo wanachezeaga kichapo cha kutosha..yaani unakutana na mbwa unamuonea hadi huruma..Alafu hii inshu ya Zouma na paka.
Wazungu bana maku sana.
Nishawahi piga haya mapaka na mambwa zaidi ya Zouma.
Pets zingine ujinga, yaani natoka shule saa 9 njaa kali nakuta paka anakula msosi wangu daah kitaumana.
Nikiwa na mamlaka nachukua paka koko na mbwa koko wooote nawapandisha ndege na kuwabwaga huko kwao wawatunze vizuri.
Wana matatizo ya homeless wengi, alafu unakuta hata mali wanaandikisha paka.
Anyway Zouma hakutakiwa kuwa kwa Recorded ni kumalizana kimafya alafu unaita watu wa mapaka kumchukua.
mkuu hawa jamaa ni wanafiki sana media zisikuchanganye.Paka na mbwa wa kibongo wanachezeaga kichapo cha kutosha..yaani unakutana na mbwa unamuonea hadi huruma..
Sasa ukiwa kwa wazungu huko ukiwapiga inaweza kula kwako vibaya sana...Sheria za wanyama zitakufunga..hata kukutwa tu na porn video ya wanyama ni msala.
jana kosa kosa la ronaldo nini ? cavani mpk anatoka ana shot 1 on target ile header ! winger unamtegmea rashford badala ya kumpa mtu anapiga mwenyewe ! hivi ronaldo angeenda city unaamini angepitia wakti mgumu km huu anaoptia man u ?Ole asingemsajili Ronaldo mpaka sasa angekuwa ni kocha wa Man United.
Huku wanyamapori sawa ndio tunakatwa hadi unyayo.Paka na mbwa wa kibongo wanachezeaga kichapo cha kutosha..yaani unakutana na mbwa unamuonea hadi huruma..
Sasa ukiwa kwa wazungu huko ukiwapiga inaweza kula kwako vibaya sana...Sheria za wanyama zitakufunga..hata kukutwa tu na porn video ya wanyama ni msala.
You've never heard of Alexis Sanchez.
Huyo Zouma nae boya sana.Alafu hii inshu ya Zouma na paka.
Wazungu bana maku sana.
Nishawahi piga haya mapaka na mambwa zaidi ya Zouma.
Pets zingine ujinga, yaani natoka shule saa 9 njaa kali nakuta paka anakula msosi wangu daah kitaumana.
Nikiwa na mamlaka nachukua paka koko na mbwa koko wooote nawapandisha ndege na kuwabwaga huko kwao wawatunze vizuri.
Wana matatizo ya homeless wengi, alafu unakuta hata mali wanaandikisha paka.
Anyway Zouma hakutakiwa kuwa kwa Recorded ni kumalizana kimafya alafu unaita watu wa mapaka kumchukua.
CR7 auzwe PSG.Tatizo ole kasajiliwa Ronaldo badala ya Midfielder, kuna source nyingi zinaonesha Ronaldo si chaguo la ole.
Kuna hii stat moja inaonesha matokeo ya Ole Baada ya Bruno na Kabla ya Ronaldo.
59% win rate average point 2.02,
Paka na mbwa wa kibongo wanachezeaga kichapo cha kutosha..yaani unakutana na mbwa unamuonea hadi huruma..
Sasa ukiwa kwa wazungu huko ukiwapiga inaweza kula kwako vibaya sana...Sheria za wanyama zitakufunga..hata kukutwa tu na porn video ya wanyama ni msala.
Sababu Man U wamemsajili Ronaldo haimaanishi kosa ni La Ronaldo, Hata Ronaldo hapendi na pengine Man U ya sasa ndo timu yenye Midfielder ambayo sio Creative kuliko Timu zote Alizowahi kuchezea Kabla. Tulihitaji midfield Reinforcementjana kosa kosa la ronaldo nini ? cavani mpk anatoka ana shot 1 on target ile header ! winger unamtegmea rashford badala ya kumpa mtu anapiga mwenyewe ! hivi ronaldo angeenda city unaamini angepitia wakti mgumu km huu anaoptia man u ?
Chelseafc tuna kijana wetu hapo broja atawafanya kitu mbaya.Next game
Manchester United vs Southampton