Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu naacha kuifuatilia kwa muda mana hovyo kabisa, timu inashindwa kulinda ushindi kabisa na kusajili haitaki, mpk leo beki magwaya na ndio captain, tunalaumu makocha bure kumbe tatizo timu nzima hasa viongozi, najitoa kwa muda
Ulishawahi kusema hivi kabla tumeshazoea.

Nilikuambia unajipa matumaini makubwa sana acha kusumbua nyuzi za watu wengine na stori zako za kosi la dunia. Tatizo ni kocha, kama shida beki mbovu mbona mna forward nzuri na hampati magoli?
 
Hii timu naacha kuifuatilia kwa muda mana hovyo kabisa, timu inashindwa kulinda ushindi kabisa na kusajili haitaki, mpk leo beki magwaya na ndio captain, tunalaumu makocha bure kumbe tatizo timu nzima hasa viongozi, najitoa kwa muda
Heee yamekuwa hayo mzee wa kosi la dunia?
 
Ahahahahhahahaahahahah

Aisee wewe jamaa bhana
 
Hii timu naacha kuifuatilia kwa muda mana hovyo kabisa, timu inashindwa kulinda ushindi kabisa na kusajili haitaki, mpk leo beki magwaya na ndio captain, tunalaumu makocha bure kumbe tatizo timu nzima hasa viongozi, najitoa kwa muda
Mzee wa Kosi la dunia upo?
 
mnatia huruma kwa kwely
 
Amkeni amkeni pumbafu kabisa, hamna ruhusa ya kulala mpaka saa hizi.

Kuna harusi huku kwetu Uyole Mbeya, leteni kikundi chenu cha ngoma kiwaburudishe wageni waalikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…