D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Mpaka leo nakuhakikishia uingereza ya sasa hakuna wachezaji. Wachezaji wa callibre ya kina Rooney, Lampard, Scholes haipo tena.Mkuu mashabiki wengi humu tuliaminishwa hivyo kuwa Sancho (right wing) is the missing piece of the puzzle hadi tuka risk nafasi ya kiungo kwa ajili yake.
Kama Alternative ya AWB kutokana na Aina ya match hasa tukicheza na low Block.kwa nini tulitaka kwenda kwa trippier?
Youtube sio reliable.mimi nailaumu youtube kwa udanganyifu wao, sikuwahi kumuona sancho akicheza
katika hao wachezaji 800 waliofanyiwa utafiti, hapakuwepo mchezaji mwenye ukamilifu?Kama Alternative ya AWB kutokana na Aina ya match hasa tukicheza na low Block.
Mortough ni Ole nyuma ya pazia.hili swali linapaswa kujibiwa na murtough pamoja na fletcher kwa sababu wao ndio wenye jukumu la kushape structure ya timu ndani ya uwanja. bahati mbaya mpaka sasa sijawahi kukutana na interview yeyote inayomuhusu murtough inayojaribu kuzungumzia mikakati yake akiwa kama director.
mpaka muda huu hatujajua tunataka kucheza mpira upi msimu ujao kwa sababu makocha tunaovumishiwa wana mikakati tofauti
Mishahara haiendani na output uwanjani.
Ila Mkuu hio mishahara mingi hapo ina Include bonus na takataka kibao ambazo sio kila wiki mchezaji anazifikia, usiamini sana Hizo data.
United inaendeshwa kishkaji sana kuanzia uteuzi wa viongozi (Murtough na Fletcher) hadi recruitment ya wachezaji (Jones,Lingard,Shaw,AWB,Maguire,Rashy,etc).Mortough ni Ole nyuma ya pazia.
He's incompetent. Na ukiongeza na uingereza wake, usitarajie tukapiga hatua.
Takataka za kingereza zitajazana hapo Carrington, mpaka mshindwe kuzimanage.
Unaambiwa Lingard ndo anaongoza mgomo hapo Carrington.
I disagree mkuu, For the first time toka Fergie Aondoke usajili uliopita ulikuwa smooth mapema tu Tulimaliza Deal la Varane na Sancho, Pia kwa Bei za kawaida, Kumpata mchezaji kama Varane kwa around 30M si jambo dogo.Mortough ni Ole nyuma ya pazia.
He's incompetent. Na ukiongeza na uingereza wake, usitarajie tukapiga hatua.
Takataka za kingereza zitajazana hapo Carrington, mpaka mshindwe kuzimanage.
Unaambiwa Lingard ndo anaongoza mgomo hapo Carrington.
We jipe matumaini Kwa hizo hesabu zako ....Tunaweza tusiingie ndio ila haimaanishi chelsea ni Favourite.
Toka tutoke draw na Chelsea, wamecheza mechi 10, wameshinda 3 tu, draw 5 na wamepoteza 2. Inamaana Out of possible point 30 wamepata 14 wamepoteza 16
Source ligi ya uingereza
Chelsea Fixtures & Results 2025/2026 | Premier League
View Chelsea scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.www.premierleague.com
At same Time man united kacheza mechi 8 toka mechi ya chelsea. Tumeshinda mechi 4, tumefungwa 1 na kutoka draw 3. Tumepata point 15 out of possible 24.
Source ligi ya uingereza.
Manchester United Fixtures & Results 2025/2026 | Premier League
View Manchester United scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.www.premierleague.com
Hivyo mkuu na ubovu wetu huu ila bado tumepata point nyingi (15) kuliko chelsea (14) japo tumecheza mechi chache.
Kinachomsaidia chelsea ni kwamba alianza ligi vizuri ila kwa mwendo huu akiendelea nao, ataongeza point 22 tu (average point 1.4 kwa mechi) kwa point zake za sasa 43 anaweza kupata point 65 ambazo si rahisi kuingia top 4.
Na kama Man U naye ataendelea na mwendo hui huu (1.875 point) atapata point 34, hivyo kumaliza na point 66, Nazo pia Ngumu kuingia top 4,
Unless timu zote mbili zinacheza vizuri hii round ya Pili pengine Spurs na Arsenal/west ham wanaweza wakawapiku.
Mkuu kwanza ufahamu Kocha hana last say, hasa Man Utd anaweza akasikilizwa ila sio lazima.katika hao wachezaji 800 waliofanyiwa utafiti, hapakuwepo mchezaji mwenye ukamilifu?
hilo ndilo swali la kujiuliza
Aisee kazi ipotutachezeshwa ngoma za kiengereza mpaka tudemke,
muandishi wa hii makala ni TIER 1 kwa taarifa zinazoihusu manchester united, ngoja niitafute short summary kule reddit baadae nitaiweka hii makala.
View attachment 2085054
ferguson anawapenda wachezaji mfano wa mcginn kutokana tabia zao za kujitoa kwa nguvu zao zote kuipigania timu, utiifu wao pamoja na nidhamu yao ya kiuongozi. kwa changamoto zetu sisi tunahitaji pia ufundi wa mchezaji ushabihiane na sifa hizo nilizozitaja na nyenginezo. kwa mfano fergie pia anampenda mctominay kwa sababu naye amejawa na sifa hizo lakini tukiangalia kiwango chake cha uwanjani hakiendani na level ya timu anayoitumikia. kwangu mimi nidhamu iwepo pamoja na ufundi kama alivyo rodri au gundoganFergie aliwahi kum recomend huyu jamaa muda kidogo. Sio mbaya kwa Squad player hasa Vile Lingard, Mata, Pogba na Pengine VDB wakaondoka. Tutahitaji Midfielder angalau watatu.
Mkuu nafkiri balance pia ni muhimu. Mc tominay hatakiwi awe key player wetu ila tunamuhitaji mchezaji wa Aina yake kwenye mechi fulani fulani.ferguson anawapenda wachezaji mfano wa mcginn kutokana tabia zao za kujitoa kwa nguvu zao zote kuipigania timu, utiifu wao pamoja na nidhamu yao ya kiuongozi. kwa changamoto zetu sisi tunahitaji pia ufundi wa mchezaji ushabihiane na sifa hizo nilizozitaja na nyenginezo. kwa mfano fergie pia anampenda mctominay kwa sababu naye amejawa na sifa hizo lakini tukiangalia kiwango chake cha uwanjani hakiendani na level ya timu anayoitumikia. kwangu mimi nidhamu iwepo pamoja na ufundi kama alivyo rodri au gundogan
Ni kweli, tuone Basi viwango vya makocha wengine , vinginevyo Ni pwagu na pwaguzi..Ole uwezo wake ndio ulikuwa umeishia pale, yaani kiwango chake kilifikia mwisho pale hakuna kitu tungepata hata angepewa miaka 5 zaidi ya The boys did their best
Tatizo hata akiwaweka bench bado timu haufanyi vizuri , yaani wanaopewa nafasi ya kucheza hawatumii vizuri hiyo opportunity kwa maslahi yao na ya timu.Watoto wameshaanza kujipambanua
Bado Rashford naye atajitokeza
Ugonjwa wa Manure ndio huo Ole aliwabembeleza sana
MOU alipotaka kuwabana watoto walishinda akatimuliwa
Ole kaja mbembelezaji kaendana nao akashindwa
Huyu kocha anachotakiwa ni kuwauza au kuwaweka benchi mpaka akili zao zikomae
Ngoja tuone msimu huu atavuna Nini huyu takataka man shityeeSiku ile ulisema mmebahatishwa mara ya kwanza na safari hii mtawaonyesha