Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwaka huu Man Shitty pale Etihad ni noma...hawashikiki pale....

Ila na nyiye mlilegea mno...goli 6!!

#EPL ya mwaka huu, sijui......

#Inzi sijui nimemsikia vibaya commentator...Eti mara ya mwisho kushinda ni Kipindi kileeee mlichocheza na Arsena??
 
BbiSiTeIEAAdKMj.jpg:large
 
Clean sheet ilikuwa kitu muhimu sana,tusubiri kesho tutapangiwa nani UEFA Champions League
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nzi umerudi leo?
Niliuliza mwanzo kama mutatoka sikupata jibu mpaka mlipoanza magoli , kweli hii timu kimeo hata wapenzi wake sasa hivi hawajiamini
 
Perfomance ilikuwa nzuri

Cleverly alicheza vizuri sana kwangu ndiyo MOTM

Pia ilikuwa vizuri kumuona Darren anarudi uwanjani baada ya mwaka mzima, hopefully atatusaidia kwenye midfield

Ingawa game ilibadilika sana after 10mins pale rooney aliporudi kati, hivyo utd kuanza kutengeneza nafasi, hivyo kiungo bado kinahitaji kuimarishwa

Vilevile A Villa hawakuwa vizuri full back left wao alikuwa very poor, viungo wao walikuwa hawarudi nyuma haraka na Benteke alikuwa isolated most of the game

Bado 10pts kuwafikia arse8, hopefully before february tutakuwa juu kwenye msimamo wa ligi
 
.... Mara juu, Mara chini, hamjitambui your strength from your weakness msimu huu, mpo mpo tu....

Dah! Arifu, kweli kufungwa kubaya.....anyway, endeleeni kuaanda pampers, kwa sababu next are the Pensioners

Last two games Welbeck mlimpondaa...

Mchezaji akicheza vizuri, usifiwa...akicheza vibaya upondwa...ndivyo ilivyo arifu....

Halafu arifu, goons si ndo zenu...nasikia jana Nemo aligoma hata kuwasalimu mashabiki wa goons!! Huku Wheelchair akionyesha middle finga kwa mashabiki wa Shitty........

Na pia jana #WengerOut was trending......
 
Back
Top Bottom