ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Great save by DDG....
umona enhee dafada gea habibi anavojituma..
Great save by DDG....
What a pass from Fletcher...but Danny can't make good use of it....
Ggmu..
#DannyIsALionnessKusema ukweli, linapokuja suala la kujituma na kujitoa kwa ajili ya timu, Danny Welbeck anastahili kucheza kila gemu.....tatizo ni namna anavyoshindwa kufunga nafasi ambazo yeye kama striker anapaswa kufunga.....
#DannyIsALion
Kusema ukweli, linapokuja suala la kujituma na kujitoa kwa ajili ya timu, Danny Welbeck anastahili kucheza kila gemu.....tatizo ni namna anavyoshindwa kufunga nafasi ambazo yeye kama striker anapaswa kufunga.....
#DannyIsALion
Dahhh....
Mkuu Nzi ya jana we acha tu,
Unajua unapofungwa goli nyingi namna
Ile hata uchungu hupotea na kubakia ganzi tu....
Hongereni, naona wafu mnawazika wafu wenzenu.
hivi zaha amegusa mpira kweli toka kaingia..
Dahhh....
Mkuu Nzi ya jana we acha tu,
Unajua unapofungwa goli nyingi namna
Ile hata uchungu hupotea na kubakia ganzi tu....
Hongereni, naona wafu mnawazika wafu wenzenu.
Mkuu hilo tu kukosa nafasi zawazi ndio ananiumiza.
3 added minutes....