Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu humu hataki kabisa kumsikia mc tominay, sijui msimamo wake ni upi kwa sasa? RR anadai MT ni future captain material.
McTominay ana miaka 21 tu hana mapungufu mengi hivyo isipokuwa anapungukiwa ubunifu tu uwanjani.

McTominay hana tofauti kubwa sana na viungo wengi wa kingereza ikiwemo Declan Rice na Henderson ni aina ile ile na midfielder wa kingereza wote wako hivyo.

Scot ana energy ambayo ni mara chache sana kuipata kwa viungo wengine na commitment yake uwanjani ni kubwa kuliko wachezaji wetu wengi hata mimi naamini anafaa kuwa Captain kuliko Maguire
 
Bahati nzuri hiyo interview leo wameirudia jioni kupitia Supper sport Premium League, Ronaldo yuko very matured na laiti wale watoto wangejifunza kwake Man United ingekuwa mbali sana

Tatizo la utoto wa wachezaji wa Manure ilianzia kwenye usajili wa Sanchez, kwa sababu ya mshahara mkubwa aliopewa Sancez, Pogba walianza kulalamika na akawaambukiza wengine kwenye dressing rooma na morale ya wachezaji ikapungua na matokeo yakawa mabaya.
Kaja Lukaku, Kaja Varane na Ronaldo wa mishiko mikubwa ndio kabisa kuna watoto wameshaacha kucheza kabisa. Wasipotandikwa viboko na au kuuzwa hakuna ligi ya ulaya mtakayocheza mwaka huu. Hata Europa Conference League hamtaiona

Ronaldo anasema ni ngumu sana kumlazimisha ua kumshawishi mchezaji kujituma, inabidi ianzie ndani ya mtu mwenyewe na kuwa na mentality ya ushindi kitu ambacho hakipo kwa sasa

Hata Bruno naona naye katia mgomo baada ya Ronaldo kuja na kufanywa kuwa mpiga penalty na free kicks chaguo la kwanza

Yaani hii sio drop form ya Bruno iko wazi ni mgomo anafanya kwa kumuonea wivu mreno mwenzake

Stats za mpaka sasa zinaonyesha kuwa Ronaldo anaongoza kwa parameters nyingi za kule mbele
  1. Goal scored this season all competitions so far 20 wa kwanza
  2. Asists 3 wa pili baada ya Pogaba
  3. Touches in oposition box .. kwa kwanza
  4. Shots ..., wa Kwanza
  5. Mentality ya ushindi - wa kwanza
Halafu bado kuna mashabiki wanamtaka aondoke ili wabakie wale watoto wasiojitambua
 
Bahati nzuri hiyo interview leo wameirudia jioni kupitia Supper sport Premium League, Ronaldo yuko very matured na laiti wale watoto wangejifunza kwake Man United ingekuwa mbali sana

Tatizo la utoto wa wachezaji wa Manure ilianzia kwenye usajili wa Sanchez, kwa sababu ya mshahara mkubwa aliopewa Sancez, Pogba walianza kulalamika na akawaambukiza wengine kwenye dressing rooma na morale ya wachezaji ikapungua na matokeo yakawa mabaya.
Kaja Lukaku, Kaja Varane na Ronaldo wa mishiko mikubwa ndio kabisa kuna watoto wameshaacha kucheza kabisa. Wasipotandikwa viboko na au kuuzwa hakuna ligi ya ulaya mtakayocheza mwaka huu. Hata Europa Conference League hamtaiona

Ronaldo anasema ni ngumu sana kumlazimisha ua kumshawishi mchezaji kujituma, inabidi ianzie ndani ya mtu mwenyewe na kuwa na mentality ya ushindi kitu ambacho hakipo kwa sasa

Hata Brunaona naye katia mgomo baada ya Ronaldo kuja na kufanywa kuwa mpiga penalty na free kicks chaguo la kwanza

Yaani hii sio drop form ya Bruno iko wazi ni mgomo anafanya kwa kumuonea wivu mreno mwenzake

Stats za mpaka sasa zinaonyesha kuwa Ronaldo anaongoza kwa parameters nyingi za kule mbele
  1. Goal scored this season all competitions so far 20 wa kwanza
  2. Asists 3 wa pili baada ya Pogaba
  3. Touches in oposition box .. kwa kwanza
  4. Shots ..., wa Kwanza
  5. Mentality ya ushindi - wa kwanza
Halafu bado kuna mashabiki wanamtaka aondoke ili wabakie wale watoto wasiojitambua
Weka vitoto vyote mnadani vitie adabu kwanza
 
Anthony Martial will be allowed to leave on loan this month as long as Manchester United's demands are met.
United want Martial's wages to be paid in full and want a loan fee of around £6m.
 
Rangnick: "I told him [Henderson] I would like him to stay — I can fully understand he wants to play.
He's at an age where you should regularly play as a goalkeeper but we're in three competitions and we need the three goalkeepers we have right now."
 
Rangnick: “I was fully aware this cannot happen overnight. It is a work in progress. We have taken a few steps but not as quickly as I hoped it would be.
As a coach you are never patient, you always want to develop things quicker and faster.”
 
Rangnick: "I think they [Cristiano Ronaldo, Sancho, Maguire & Jones] will be available. They only trained yesterday for the first time - Cristiano yesterday, Harry the day before. As it seems right now they should be available for tomorrow.
 
Rangnick: "At least we know what the challenge will be and how they [Aston Villa] are playing — we also know we can beat them. Now is about the best possible performance in order to win again."
 
Rangnick on the Premier League: "I wouldn't say it has surprised me. No winter break is what I expected — what surprised me a little is how physically and tactically astute the smaller teams in this league are. Against the bottom teams, it is never easy."
 
"Some things have to change."

"To build up good things sometimes you have to destroy few things."

- Cristiano Ronaldo
Interview aliyofanya huyu jamaa inanipa fursa ya kupose kidogo on my near complete collapse on my "player fan relationship" with him. I am giving him the benefit of the doubt.

Lakini I rank 20% on his words and 80% on his actions. nataka nione anapunguza kujiangusha kwa asilimia 80%, apunguze unwarranted demands from his mates by same 80% na aache kulalamikia wenzake ndani na nje ya uwanja kwa asilimia 100% hii tabia ni mbaya kuliko zote sababu it shatters the Morales of every player in the pitch and he needs to have respect to us, fans.. he should stop thinking he is doing any one of us any favor for being a man utd player and lastly, he should himself start responding to RR approach kwa sababu in my option he has been the vocal opponent of the coach's approach.
 
Naona sura mpya mpya leo tuone kwa kosi hili.
Screenshot_20220115-193921.jpg
 
Back
Top Bottom