Bahati nzuri hiyo interview leo wameirudia jioni kupitia Supper sport Premium League, Ronaldo yuko very matured na laiti wale watoto wangejifunza kwake Man United ingekuwa mbali sana
Tatizo la utoto wa wachezaji wa Manure ilianzia kwenye usajili wa Sanchez, kwa sababu ya mshahara mkubwa aliopewa Sancez, Pogba walianza kulalamika na akawaambukiza wengine kwenye dressing rooma na morale ya wachezaji ikapungua na matokeo yakawa mabaya.
Kaja Lukaku, Kaja Varane na Ronaldo wa mishiko mikubwa ndio kabisa kuna watoto wameshaacha kucheza kabisa. Wasipotandikwa viboko na au kuuzwa hakuna ligi ya ulaya mtakayocheza mwaka huu. Hata Europa Conference League hamtaiona
Ronaldo anasema ni ngumu sana kumlazimisha ua kumshawishi mchezaji kujituma, inabidi ianzie ndani ya mtu mwenyewe na kuwa na mentality ya ushindi kitu ambacho hakipo kwa sasa
Hata Bruno naona naye katia mgomo baada ya Ronaldo kuja na kufanywa kuwa mpiga penalty na free kicks chaguo la kwanza
Yaani hii sio drop form ya Bruno iko wazi ni mgomo anafanya kwa kumuonea wivu mreno mwenzake
Stats za mpaka sasa zinaonyesha kuwa Ronaldo anaongoza kwa parameters nyingi za kule mbele
- Goal scored this season all competitions so far 20 wa kwanza
- Asists 3 wa pili baada ya Pogaba
- Touches in oposition box .. kwa kwanza
- Shots ..., wa Kwanza
- Mentality ya ushindi - wa kwanza
Halafu bado kuna mashabiki wanamtaka aondoke ili wabakie wale watoto wasiojitambua