Enyi kizazi chenye roho nyepesi!!Hii timu ndo ile ile iliyoanza kipindi cha kwanza au sub zishafanyika
DD anaendelea kuwa Man of the Match dah!!!
Hapana, shida ni pale kati hasa no.6Wachezaji wetu wanauwezo mdogo sana.
Nimesema hapaSoon itakuwa 2-2