Habari zinawafikia kumbe?Essay ya Rashford kapiga 9/10. Nimemnyima hiyo marks moja kwa kuandika 'I love this club'
Good thing hawa mafala habari zimewafikia.View attachment 2074201
Sahivi wachezaji hawatamani hata huyo RR apewe consultancy role.tatizo lilianzia kwa mwalimu aliyepita hakuweza kuweka msisitizo juu ya mambo hayo matatu mbele ya hadhara na hata kwenye viwanja vya mazoezi, amekuja mwanadamu anayehitaji sifa hizo tatu wachezaji wanahisi uzito kubadilika.
bahati mbaya sana kwa wakati huu upepo umewavumia vibaya wachezaji wetu kwani hakuna chochote watakacho kilalamikia mbele ya hadhara au kwa kuvujisha taarifa kama wafanyavyo baadhi yao wakaaminiwa na kuungwa mkono kama ilivyotokezea hapo nyuma (kuanzia Ole hadi mourinho)
kwa sasa presha imehamia kwao na kwa ushahidi wa hilo
- jaribu kufuatilia mahojiano ya maguire hapo juzi (yeye kama nahodha inasemekana aliitisha mkutano rasmi wa wachezaji na kocha kuzungumzia mwenendo wa timu)
- fuatilia majibu ya bruno baada ya kuvumishiwa tetesi za kuhamia barcelona, umeona wapi mchezaji wa ulaya kujibizana na tetesi za magazeti ya kufungia maandazi
- fuatilia post ya fred hapo juzi akikemea taarifa za uongo zinazosambazwa juu yake
- fuatilia post ya rashford hapo juzi
- fuatilia maneno ya msemaji wa pogba alipokanusha habari za kwamba mteja wake amefikia makubaliano ya kupewa mkataba mpya wa paundi laki 5.
kwa sasa wana machaguo mawili yanayowakabili nayo ni:
tumemsikia evra akitoa duku duku lake
- kufuata matakwa ya mwalimu (kocha ameendelea kusisitiza pressing 😛😛😛
- au kuendeleza ukaidi ndani ya uwanja baadae wapambane na matusi ya mashabiki na pundits.
roy keane kama kawaida yake ameendelea kumpa za uso harry maguire
lou macari naye amebwatuka
Carrick ame coach mechi ngapi.?Tatizo ni kocha, System yake ya uchezaji.Wachezaji ni wale wale walio kochiwa na Carrick kabla ya kocha huyo Kutua.Mbona wakati wa Carrick walikuwa hawapotezi mipira?
Akiwa Leipzig alikuwa na wachezaji sahihi.Mwalimu Hana mbinu.Ana technique Moja tuu ambayo wanafunzi wameshindwa kuielewa yeye ana force tuu,Kocha asiforce aangalie na aina ya wachezaji alio nao.Kwanini Rb Leipzig walifit mfumo wake vizuri na Man UTD wanaonekana kuto kufit??? Kaangalie mechi za Leipzig wakati RR ni kocha,mipira ilikuwa haipotei potei ovyo,mpira safi unao vutia,mwendo wa kupress tuu.
Mechi za Carrick zilikuwa dhidi ya Villarreal Arsenal.
Unakua professional player na huelewi kupress basi ni tatizo kocha yuko vizuri shida wachezaji wavivu sana na hawataki kuelekezwa wanacheza wanachojua wao.Mwalimu Hana mbinu.Ana technique Moja tuu ambayo wanafunzi wameshindwa kuielewa yeye ana force tuu,Kocha asiforce aangalie na aina ya wachezaji alio nao.Kwanini Rb Leipzig walifit mfumo wake vizuri na Man UTD wanaonekana kuto kufit??? Kaangalie mechi za Leipzig wakati RR ni kocha,mipira ilikuwa haipotei potei ovyo,mpira safi unao vutia,mwendo wa kupress tuu.
Mechi za Carrick zilikuwa dhidi ya Villarreal Arsenal.
Duuh epl balaa aiseee njumu ya chuma iyo ishafanya yake
Astonvilla Jana walikosa bahati tu lakin walicheza vzuri
Kumbe kwenye mpira bahati ipoAstonvilla Jana walikosa bahati tu lakin walicheza vzuri
Jumamoss inategemeana watakuwa kwenye form ipi ..!
Makocha wakianza kuwadrop na kuchukua wachezaji kwenye academy they will definitely changeMichezaji ya Man u ndio hovyo wala sio kocha, wangeishushia na mishahara ili akili iyakae vzur.
Mimi nafikiri game tuliyocheza vizuri ni game yetu na Chelsea.Kweli kabisa msimu huu nimeangalia mechi zote mpaka sasa mechi tuliyocheza vizuri ni ya Leeds tu na hizo dk chache kwenye mechi ya Crystal Palace, hadi nikajisemea "United are back" kumbe ni danganya toto tu wachezaji walimsikiliza mwalimu mechi hiyo basi.
Mechi nyingine tulizocheza vizuri kidogo ni ya Newcastle pale OT na game ya Spurs basi hizo nyingine tunashinda tu kwasababu hii ni Manchester United anatokea mchezaji atafunga tutashinda.
Maybe mchezaji anayetakiwa kubaki United ni De Gea tu !!Nikiangalia lists ya wachezaji walioachwa na josep guardiola pale kwa majirani miaka miwili ya mwanzoni ya utawala wake then uwalinganisha na hawa waliopo kwetu nabaki na mshangao dhidi ya wale wanaomnyooshea kidole mwalimu juu ya uwezo wake, hivi jurgen klopp alisafisha wachezaji wangapi mpaka alipojenga timu yenye kuogopesha.kwa timu kubwa mfumo ni wachezaji, Tuchel thomas alipata bahati ya mtende kwa kurithi timu iliokuwa na udhaifu wa kukosa nidhamu ya ushindi lakini kuhusu ubora wa wachezaji ulikuwepo kwa maeneo mengi ya uwanja.
Fukuzeni wote kuanzia kocha,wachezaji mpaka benchi la ufundiKwa iyo tumfukuze rr tumrudishe carrick sio
Atabaki de gea na benchi la ufundi tu....Fukuzeni wote kuanzia kocha,wachezaji mpaka benchi la ufundi