Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Madrid na Barcelona waliisha kwisha, the balance of football has shifted to UK. Chelsea, City, Liverpool, Man Utd, Arsenal, Tottenham zinauwezo wa kuattract mchezaji yeyote duniani bila ushindani mkubwa kutoka nje ya UK, labda hapo Ujerumani kidogo
Kwanini mbappe anataka kwenda Madrid??
 
Na nyie mkicheza na timu kubwa mtoe burudani.. sio mcheze cheze tu ilimradi.

Si mmewaona jana Arsenal walivyojikaza. Na leo tunaburudika kuangalia kandanda safi kutoka kwa Liva na Chelsea.
 
Kwenye press ya rangnick. Kunadehemu anasema

"I know from some players that they want to leave. We spoke about Edi [Cavani] and he knows I definitely will not let him go."

Hao players kwamaelezo yake mengine, nafikiri ni Donny van de beek na Martial maybe na lingard....waende tu
 
Manchester United players spotted at the Lowry Hotel tonight:

De Gea, Henderson, Heaton,

Dalot, Wan Bissaka, Varane, Jones, Shaw, Telles,

Matic, Fred, McTominay, Lingard, Van de Beek, Fernandes,

Sancho, Elanga, Cavani, Rashford, Greenwood, Ronaldo 👥
 
Kwenye press ya rangnick. Kunadehemu anasema

"I know from some players that they want to leave. We spoke about Edi [Cavani] and he knows I definitely will not let him go."

Hao players kwamaelezo yake mengine, nafikiri ni Donny van de beek na Martial maybe na lingard....waende tu
kwa mujibu wa muandishi anayeitwa james ducker anasema ralf pia amezuia kuondoka kwa Donny van de beek dirisha hili la january, ralf anahitaji kuwa na kikosi kikubwa ili kujiandaa na changamoto yeyote itakayojitokeza hususani ya corona.

kuhusu martial ameendelea kusema watamruhusu kuondoka endapo klabu itakayomuhitaji itakuwa tayari kulipa mshahara wote wa martial pamoja na fedha ya usajili wa mkopo.

Ni jambo la kusikitisha sana kuona ya kwamba ile project yetu tulioanza ya kujenga timu imara inakwenda kujizika rasmi dirisha lijalo la usajili huku tukiwa tumeshindwa kuyafikia malengo, kwa ufupi upo uwezekano wa kuwaondoa wachezaji takribani 6 kama zitakuja ofa sahihi dirisha lijalo.

kituko zaidi wachezaji wenyewe wanaolenga kuondoka klabuni hawana umuhimu mkubwa.
waliofanya uamuzi wa kufanya sajili wanapaswa kuadhibiwa
 
wazee wa gengeni press wasukuma magenge nyumbu n nyumbu2 mkajiona mtakua wapya na gengen yenu kumbe tunawachora2
 
Back
Top Bottom