Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi kafanya nini tena huko? analazimisha kupangwa?
anadai hafurahishwi na jinsi anavyotumika pale na anaona kuwa alifanya uamuzi wa haraka kuondoka inter hivyo anahitaji kurudi kule kwani ndiko anakoona anapendwa na kutumika vizuri
 
HAHAHAHA, POGBA characters.
 
Kwenye timu yetu kuna watu wakuondoka ndani ya miaka 2 hii kuanzia sasa kama kweli tuna nia ya kufanikiwa...

1: wan bissaka
2: phil jones
3: lingard
4: ronaldo
5: Van de beek
6: matic
7; pogba
8: martial
9: cavani

Ninesema ndani ya miaka 2, kwasababu tutahitaji ziba gap zao.....hatuwezi kufanikiwa tukiendelea nao hao kwa miaka 2 zaidi kwenda mwaka wa 3.....

Kina mata ninewatoa hao hawana msaada wowote.
 
anadai hafurahishwi na jinsi anavyotumika pale na anaona kuwa alifanya uamuzi wa haraka kuondoka inter hivyo anahitaji kurudi kule kwani ndiko anakoona anapendwa na kutumika vizuri
Na huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?
 
Kwenye timu yetu kuna watu wakuondoka ndani ya miaka 2 hii kuanzia sasa kama kweli tuna nia ya kufanikiwa...

1: wan bissaka
2: phil jones
3: lingard
4: ronaldo
5: Van de beek
6: matic
7; pogba
8: martial
9: cavani

Ninesema ndani ya miaka 2, kwasababu tutahitaji ziba gap zao.....hatuwezi kufanikiwa tukiendelea nao hao kwa miaka 2 zaidi kwenda mwaka wa 3.....

Kina mata ninewatoa hao hawana msaada wowote.
waende tu
 
Na huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?
ni muendelezo wa kusajili majina badala ya right players wanao fit kwenye mfumo, hii kasumba sijui itaisha lini kwenye vilabu vya uingereza
 
Nadhani hawa makocha nao tukiwaangalia kwa ukaribu zaidi wana mapungufu mengi sana hasa kwenye intellectual perspective. waanaongea sana kama watu waliokwenye interviews za kazi, wakipewa opportunities delivery inabadirika, wanachokisema sio wanachokitekeleza.

Nakumbuka OLE alimuuza Lukaku akamsajiri Ighalo.
 
Na huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?
Bodi ilikua inamtaka halaand lukaku amekuja kama option B na ndo maana unaona hata tetesi zake za usajil zilianza mwishoni kabisa kalibu dirisha la usajil kufungwa
 
Wolves anaenda kuwafunga ....huo mfumo wenu wa kenge kenge pressings hamuwezi kutoboa
 
Bodi ilikua inamtaka halaand lukaku amekuja kama option B na ndo maana unaona hata tetesi zake za usajil zilianza mwishoni kabisa kalibu dirisha la usajil kufungwa
sasa kama Board ilikuwa inamtaka Haaland nani aliye approve usajiri wa Lukaku?
 
Walimtaka haaland sababu ya umri wake na dau lake la 65M lilikua deal safi kwa Chelsea ila plan B lazima iwepo na piah lukaku alikua kwenye fomu nzuri
 
Wewe jamaa haaland ndoto yake kucheza Madrid sababu Chelsea walikua tyr kumpa mshahara wowot anaotaka ila haaland kucheza Chelsea sio ndoto yake
Madrid na Barcelona waliisha kwisha, the balance of football has shifted to UK. Chelsea, City, Liverpool, Man Utd, Arsenal, Tottenham zinauwezo wa kuattract mchezaji yeyote duniani bila ushindani mkubwa kutoka nje ya UK, labda hapo Ujerumani kidogo
 
Back
Top Bottom