Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Look at this Fernandez, one of the greatest, I look at his beatful babes and this his beautiful wife and I just feel sorry for them.
His quality has significantly deteriorated after the coming of his home boy, Ronaldo.
Hapa umeongopa mchana kweupe, Bruno kiwango kilishuka mda mrefu tu hilo lipo wazi, ofcz ngoja nikuache mana hapa umeonesha chuki za wazi wazi kabisa na ninavyozidi kuku engage nahisi utatoa boko zaidi ya hili mkuu.
 
Afadhali wewe umekuwa wazi, mashabiki wengi wa Ronaldo ndani ya Man Utd wanasukumwa na kutaka kumuona anamzidi messi records. This is not fair to the team.
Mambo ya Messi na ronaldo yalikwisha mda mbn au ww upo dunia ipi mzee.
 
Hapa umeongopa mchana kweupe, Bruno kiwango kilishuka mda mrefu tu hilo lipo wazi, ofcz ngoja nikuache mana hapa umeonesha chuki za wazi wazi kabisa na ninavyozidi kuku engage nahisi utatoa boko zaidi ya hili mkuu.

Mambo ya Messi na ronaldo yalikwisha mda mbn au ww upo dunia ipi mzee.
Aliyeleta mambo ya messi vs Ronaldo ni niliye mquote. Do not be so negative with me.

Do not look at me, look at the team.

Ronaldo ndio mchezaji anayelalamikia wenzake kuliko mwingine pale EPL. Anajikuta anajua kuliko mchezaji yeyote ndani ya timu.
unaelewa madhara ya tabia za namna hii?
 
I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.

Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.

wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.

I wish one of these days aanzie benchi.
Aisee.
 
Kwani mimi huwa naangalia mechi gani?? Haya ni mapya
 
Aliyeleta mambo ya messi vs Ronaldo ni niliye mquote. Do not be so negative with me.

Do not look at me, look at the team.

Ronaldo ndio mchezaji anayelalamikia wenzake kuliko mwingine pale EPL. Anajikuta anajua kuliko mchezaji yeyote ndani ya timu.
unaelewa madhara ya tabia za namna hii?
Screenshot_20220101-235009.jpg
 
I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.

Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.

wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.

I wish one of these days aanzie benchi.
Muuzeni
 
Watu watabisha humu..

Nilifurahi Ronaldo kurudi lakini kwa sasa nadhani ni mzigo kwa hii timu..najua anafunga ndio na Uefa tupo last sixteen kwa mchango wake lakini ameharibu balance ya timu zaidi..
 
Haieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani.
Msimu huu hakuna mechi hata moja tuliyocheza vizuri..ukiacha ile ya Leeds kidogo..

Mechi zote hovyohovyo..bora hata misimu miwili iliyopita kuna mechi tulikuwa tunacheza vizuri kidogo.
 
ronaldo ni mzigo waazee, kuangalia idadi ya magoli pekee ni upofu na mapenzi, yani mtu hawezi hata kumpita adui wakiwa 1v1, mtu kweye ujenzi wa mashambulizi anategemea tuu kukimbia na kunyoosha mikono juu akinyimwa pasi, hata mkisema eti amesajiliwa kwa majukumu ya kufunga tu, kwenye swala la positioning anazidiwa hata na cavani bila kusahau movement zake pale mbele kama namba 9 zinawanyima kabisa viungo nafasi nzuri ya kupenyeza pasi za mauaji, bruno kabla ya ujio wa ronaldo alikuwa na ma assist kibao lakini kwa sasa ana struggle kwa sababu timu imekosa balance kabisa eti kisa jukumu la kufunga kakabidhiwa mzee fulani.
 
Haieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani
Tatizo halijabadirika sawa, lakini mfumo wa timu umebadirika. sasa tunalalamika anatakiwa sijui holding midfielder, lakini hata akija wa kutoka sayari ya mars atachemsha kama akicheza na Ronaldo huyu wa sasa.

Pale mbele kocha kawaweka wawili, 4-2-2-2, lakini ukiangalia body na verbal language zake ni kama analazimisha wacheze 4-2-2-1-1.
Alafu yeye mwenyewe ha hold mipira, ni mtu wa kujiangusha na kubutua butua, mpaka afanye meangful attempt au afunge ni ama mpira umkute kwenye penalty box, au atanguliziwe awe yeye na kipa, one on one lazima ajiangushe.

matokeo yake, kumpasia Ronaldo Mpira ni kama kuwapa wapinzani.
 
31 August 2021 nilitoa Kia Kuwa sikufurahishwa na usajili wa Ronaldo wengi hawakuiona hasara ya kuwa na Ronaldo kikosini kwenye epl hope sasa tunaanza kuzungumza lugha moja.
 
ronaldo ni mzigo waazee, kuangalia idadi ya magoli pekee ni upofu na mapenzi, yani mtu hawezi hata kumpita adui wakiwa 1v1, mtu kweye ujenzi wa mashambulizi anategemea tuu kukimbia na kunyoosha mikono juu akinyimwa pasi, hata mkisema eti amesajiliwa kwa majukumu ya kufunga tu, kwenye swala la positioning anazidiwa hata na cavani bila kusahau movement zake pale mbele kama namba 9 zinawanyima kabisa viungo nafasi nzuri ya kupenyeza pasi za mauaji, bruno kabla ya ujio wa ronaldo alikuwa na ma assist kibao lakini kwa sasa ana struggle kwa sababu timu imekosa balance kabisa eti kisa jukumu la kufunga kakabidhiwa mzee fulani.
Spot on...

Akikutana na Refa aliyechezesha mechi ya Arsenal na city jana, lazima ale red, yule lefa hataki kufundishwa kazi.
 
Back
Top Bottom