Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Happy bday Sir Alex

A2E46E45-1B9B-4ACB-A9A8-465306772FDE.jpeg
 
Kuna watu ni wajinga sana, cjui wanataka mtu afanye nini.
😂😂😂 Mzee naona umepiga miwani ya mbao kwa Ronaldo na umeongeza pamba masikioni.

Hapa tunakosoa kila mchezaji haijalishi performance yake.

Tuwe wakweli Ronaldo ni 37yrs old, vitu tunavyoexpect kwake hawezi tupa kwa asilimia zote.

So kuna haja ya kuwa na straika wa kueleweka.

Offensive tuko vibaya, maana mbele wote wana attitude.

Ukiondoa Ronaldo na Cavani ambao wanajua nini cha kufanya, ila ndio hivyo miili imewakataa.

Kubali tu mzee tuna mapungufu offensively, mzee wetu Ronaldo tukubali miaka imeenda, so kusema kuwa mechi nyingine anakua ovyo tunamaanisha wala hatumchukii.

Ila ndio hivyo Bora yeye kuliko Trashford, Masson Kachoyo, Bishoo martial.

Ila tukiwa na mtu kama Haland halina ubishi Ronaldo kuanzia benchi halina mjadala.
 
Mzee naona umepiga miwani ya mbao kwa Ronaldo na umeongeza pamba masikioni.

Hehehehee mbona umejijibu mkuu, kama utaongelea kigezo cha umri wkt mtu ana deliver hapo huwezi kueleweka, lkn pia kama unatumia kigezo cha chenga na kumiliki mpira kwamba ndio u finalize kuwa CR7 kaisha basically utakuwa unaishi dunia yako pekeako mana dunia ya sasa soka halihitaji hayo mambo, na pia utambue kwamba majukumu ya cr7 kwa ss yamebadilika.

Nasubiri uniambie kwnn unasema cr7 kaisha na kwnn unadhani Halland atamweka benchi CR7
Screenshot_20211231-141114.jpg
Screenshot_20211231-141149.jpg

Usisahau kwamba cr7 ametoka kubadili mazingira ya ligi kakuta ligi imeshaanza wkt Halland tayari yupo Bundesliga na keshazoea mfumo. Pia nadhani unajua tofauti kati ya Bundesliga na EPL.
 
Mzee naona umepiga miwani ya mbao kwa Ronaldo na umeongeza pamba masikioni.

Hapa tunakosoa kila mchezaji haijalishi performance yake.

Tuwe wakweli Ronaldo ni 37yrs old, vitu tunavyoexpect kwake hawezi tupa kwa asilimia zote.

So kuna haja ya kuwa na straika wa kueleweka.

Offensive tuko vibaya, maana mbele wote wana attitude.

Ukiondoa Ronaldo na Cavani ambao wanajua nini cha kufanya, ila ndio hivyo miili imewakataa.

Kubali tu mzee tuna mapungufu offensively, mzee wetu Ronaldo tukubali miaka imeenda, so kusema kuwa mechi nyingine anakua ovyo tunamaanisha wala hatumchukii.

Ila ndio hivyo Bora yeye kuliko Trashford, Masson Kachoyo, Bishoo martial.

Ila tukiwa na mtu kama Haland halina ubishi Ronaldo kuanzia benchi halina mjadala.
Ronaldo kazeeka, lkn map inakukatalia
Screenshot_20211231-142543.jpg
 
Maguire??!!!!...Jesus Christ..

Sijui anavaaje kitambaa cha ukapteni.
Yaani huyu ndio better kuliko coulibally wa napoli....kweli dunia haipo fair kabisa.
Beki mpira ukawa nao shabiki unabana mapumbuzz🤣🤣🤣🤣
 
In the 4 PL games since Rangnick arrived, Ronaldo´s Pressures Per Game have increased from:

Pre-Rangnick: 11 matches - 3.5 Pressures Per Game
Under Rangnick: 4 matches - 8.5 Pressures Per Game

Small sample size etc., but definitely an interesting development.

Data via: fbref
 
KOCHA WA MAKOCHA...BINAFSI NAMUHESHIMU BABU FERGI ANAHISTORIA KUBWA SANA KATIKA SOKA LA ENGLAND HADI QUEEN ILIMBIDI ATOE IDHINI BARABARA IPEWE JINA LAKE FERGUSON ROAD, lakini nasikitika kuwaambia ukweli mchungu UNITED FANS kuwa ile man u ya fergie haitakaa ijuridie poleni sana Mashetani.​

NUMBER.01...HIMSELF!!!
E0DTlxtWUAEljji.jpg
 
Cr7 ana njaa ya mafanikio, anapambana kuleta ari kwenye timu, kuna mda akikosa goli unaona jinsi anavyojilaumu, hiyo pekee inatosha kuleta funzo kwa wachezaji wengine pale Utd.
Lakini ni mtu aliyeleta tabia ya hovyo kwenye timu ya kujiangusha angusha na kutokukaba akipoteza mpira. huyu Ronaldo mi ningekuwa RR napiga benchi.
 
Back
Top Bottom