Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angesubiri msimu ukaisha Ili kuepusha kisingizio ndo akachukua timu,Mbona kina Zidane waligoma.Mbali na Ivo,mbona Spurs inafanya vizuri licha ya kocha mpya na wachezaji ni wale wale? Aston villa,licha ya kukutana na vigogo lakini imeonesha Kuna kitu tofauti na mwanzo. Kwanini RR??
RR kafanyaje ss, timu inacheza vizuri tofauti na mwanzo au huoni?
 
Naomba tu na mimi leo niseme hili Maguire tumepigwa tena mchana kweupe. Sijui kitu gani kinamfanya bado anapangwa ni kitambaa au nini? Yani dakika za mwisho mtu wa nyuma yake anapiga kichwa yeye anaangalia wapi sijui dah.
 
Ronaldo's hit map
Screenshot_2021-12-31-08-15-30-262_com.google.android.youtube.jpg
 
Kushambulia ni mfumo na jana nmeanza kuona pattern ya jinsi tunashambulia na kutafuta goal...kikubwa wachezaji wamuelewe kocha RR.


NB: nasikia kocha analalamika wachezaji mazoezi magumu hawawezi...ngonj tusubrie
 
Back
Top Bottom