Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ronaldo anataka kuenda Barcelona ....ameona hili li timu halina issue Tena
 
Yani kama kocha anaona wachezaji ni tatizo,Angeacha kuchukua timu mpaka msimu ukaisha kusudi asajiri wachezaji wake anao wahitaji watakao endana na formation yake na wasio endana na formation akawauza.

Apige kazi aache VISINGIZIO na maneno mengi.

Ova.
 
Kikubwa atumie mbinu zake za ukocha Kwa wachezaji alio wakuta Ili kupata matokeo kwanza na sio kukariri njia Moja eti gengen pressing.Plan A kama imefail tumia plan B Bwana RR.

Ova.
 
Mbona conte alikuwa muumini wa 3-5-2 alipo kuwa Chelsea na Intermilan lakini Kwa sasa na Spurs anatumia 3-4-3 life linasonga Hana maneno mengi Wala kulalamika kwenye media??

Steven Gerrard kaonesha ana kitu Aston villa na wachezaji kawakuta lakini anaendana nao TU na mbinu zake,Iwee Kwa Ralf pekee yekee??


Kocha aache kulalamika,kama njia ya kwanza imefail atumie alternative.Lengo ni kupata matokeo.
 
Hivi hawa wachezaji mnao wasema waondokee,Si ndo hawahawa walio maliza Ligi msimu uliopita nafasi ya pili na kufika fainal euroapa league??? Tena wengine wakiwa na tuzo zao za mwezi?? Msimu uliopita??

Kwanini msijiulize mbona msimu huu TU ndo wamedrop?? Kuna Nini???
 
Naangalia mchezo wa Sporting CP huyu chalii Ruben Amorim ni bonge la kocha. Msimu huu nimeangalia mechi zao karibu zote huyu bro anapaswa ajiunge nasi mwezi wa 6.

Anafanya maajabu na kikosi cha wachezaji 26 tu. Wasaidizi wake wana miaka 25 na 27.
 
3-5-2 na 3-4-3 ni kitu kimoja.
 
Hilo swali tungemuuliza Ole kwanza sio RR maana vipigo alivyokuwa anapokea ni aibu
 
kungekuwa na nafasi ya kugonga like hata kumi ningegonga hapo, hatuwezi kulea wachezaji wavivu na kuwalipa mishahara minono, wana ushua mwingi sana wale mafala, wanaudhi
 
Liver man city kuna wachezaji wakubwa na mastaaa na wanapambana haswaa
Binafsi uwezo wa Pep kama mwalimu wa mpira wa miguu huwa naukubali sana kwenye ujuzi wake kwenye kuwamudu hawa tunaowaitaa masupa staa.
City ina kundi kubwa sana la masupa staa lakini jamaa anafanya rotation za mara kwa mara kulingana na mbinu za mchezo husika pamoja na uwajibikaji wa mchezaji kwenye uwanja wa mazoezi au mechi iliyopita.

Lakini mwajiriwa wetu aliyepita yuko radhi amchezeshe rashford aliye na maumivu ya bega halafu akifanya vibaya anamtetea kwa kigezo hicho hicho cha maumivu ya bega wakati ana mbadala yuko benchi.

#OleOutAgain 😡😡
 
Daaah wazee nilikuwa naangalia marudio game zetu kipindi cha sir FERGUSON !!!
Wazee nimengundua JONES alikuwa na commitment kubwa na morali kubwa kuliko huyu MAGUIRE.
daah afu ilikuaje tukatoa 80M kwa huyu jamaa au ni Dili lilipigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…