Hawa wajinga wangejua wanavyotuumiza angalau wametupunguzia maumivu kidogo.Duh afadhali tulisha dhalilishwa.
Haha haaaaaa...Haya kumekucha na ushindi, amkeni mfanye uchambuzi bila kusahau kumsifia kariki 😂
Tulitakiwa kupigwa nyingi matajiri wasepeHaya kumekucha na ushindi, amkeni mfanye uchambuzi bila kusahau kumsifia kariki 😂
Yes.Big up Man U 🔥
Sema tenaAu nimewaisha wakuu 😃😃
View attachment 3704174