Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hii ni kweli hivi?
Hii ni kweli hivi?
Iko hivyoHii ni kweli hivi?
Kaka kweli wewe wa kupost hiyo meme ya halland?..... ukitaka kujua hii timu inanguvu ngojea Summer transferUnatamani isiwe kweli?
Mkuu siku hizi huleti picha za Nyumbu......Katika ubora wako, ligi za namna hii unazipenda sana.![]()
Hizo ni hisia mkuu,Yaaani ni wahuni balaaa ,wamemruka Brentford kijanja![]()
Wasimamishe tu ligi japo sijui ratiba za vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Ulaya zitakaaje pamoja na wachezaji watakaohitajika AFCON maana kama wakiruhusiwa kushiriki na EPL ikisimamishwa itazidi kuwa hali mbaya zaidi wakirudi itawabidi kufanya self isolation na wiki kadhaa UCL, UEL na Conf. League zitakuwa zikirejea na wiki kadhaa tena mbele kutakuwa na WC Qualifiers Playoffs.Nimesoma ESPN wanasema kuna orodha ya vilabu kadhaa vinaomba kusimamisha ligi
Mna financial muscle ya kumnunua na kumlipa mshahara ila kuhusu makombe tena la ligi sidhaniKaka kweli wewe wa kupost hiyo meme ya halland?..... ukitaka kujua hii timu inanguvu ngojea Summer transfer
Makombe atayapata ArsenalMna financial muscle ya kumnunua na kumlipa mshahara ila kuhusu makombe tena la ligi sidhani
Apparently you are right.Makombe atayapata Arsenal
Asante kwa kutusaidear.