mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 395
- 908
Hii ni timu joh unapokuwa hapo huwezi sema unaweka hisia zako mbele kabla ya timu na sio swala la democracy kwamba kila mtu awe na analo litaka au analo lihisi ni sawa kwake.People react differently to stressful situations. May be for Paul and Jingz dancing is a way to deal with stress.
Hapo Wazza aliwaza kwa ubinafsi sana, yaani anataka watu wote wanune na kuchukia kwa namna kama yake wanapofungwa?
Ndiyo maana Afrika kuna makabila kwenye msiba wao wanacheza ngoma kabisa.
Wazza had it wrong
Imagine mpo katikati ya mechi ya liverpool tumefungwa goli tatu halafu kuna mchezaji anaenda kuungana na wachezaji wa liverpool kushangilia linapo ingia goli la nne na atoe sababu ya hovyo kama hiyo kuwa ndio mbinu yake ya kuhandle stress?
Unakumbuka chelsea mashabiki na viongozi walivyo mshambulia batshuayi alivyo mcheka morata baada ya kukosa penalt?
Unamkumbuka roy kean alisha wahi kuwambia hao kina rashid kwamba "Too much hug after deby"?
