Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs ,united wanajifucha kwenye kivuli cha covid ....ingieni uwanjani mkapambane kudadekii ...

Sio mnalilia kuahirisha match bila sababu maalumu mamaee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa jamaa Kwa jinsi walivyocheza n Norwich. Na game ya Brentford ilikuja after 2 days isinge kuwa covid cases walikuwa wanakufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imekuja kama blessing in disguise
 
Yaaani ni wahuni balaaa ,wamemruka Brentford kijanja[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Spurs ,united wanajifucha kwenye kivuli cha covid ....ingieni uwanjani mkapambane kudadekii ...

Sio mnalilia kuahirisha match bila sababu maalumu mamaee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona unatukana aise, unajiskiaje kutukana ovyo ukitukana ndio unaonekana mbabe?
 
IMG_20211216_092427.jpg
 
Back
Top Bottom