Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tofauti ya uyu babu na ole ni miwani2
Screenshot_20211020-231750.jpg


Sent using motorola 78
 
HAKUNA UBISHI..

Ronaldo amechoka..Anahitaji apenyezewe mipira kwenye njia hakuna lingine analoweza.
Mimi ninachojua mdau kwa huu mfumo mpya wa uchezaji chini ya ralf ronaldo msimu ujao ataanzia benchi......ngoja tuone
 
Usikufuru mkuu. Namuelewa Ronaldo pia. huyu wa sasa mpira uko mguuni anashindwa kuelewa haufanye nini sababu umemsogolea sana, anapiga shuti anaukosa mpira, Ronaldo huyu uwezo wa kucontrol mpira umeshuka, mipira inamgonga inaondoka, hawezi kupiga chenga, hawezi kugeuka n.k

anakabiliwa na issue ya umri ukijumlisha kwamba analazimika kuhakikisha haumii, anakuwa mzigo.
Yet he is our top scorer.

Ninachokiona, Rashid na Martial wakiimprove asilimia 10% kila mmoja, Ronaldo anakalia benchi.
Unamzungumzia anthony martial au martial art mkuu? jokes

Hao unaosema wafany kuimprove kwa asilimia kumi bado hawawezi kuwa kama Cr7 labda kama kuna uwezekano wazaliwe upya.
1. Ambition
2. Seriousness
3. Leadership
4. Shooting
........
 
Hakuna fluidity kule mbele..mipira inafika na kupotea wewe hulioni hilo..

Mfano juzi kwenye mechi ya Norwich uliona jinsi gani kulikuwa hamna fluidity kule mbele..Ronaldo hawezi hata kugeuka apige pasi kwa mchezaji mwenzake pembeni,huoni hili ni tatizo..

Faida za Ronaldo kwenye kikosi chetu tumeziona na hasara pia zipo kibao..hatuhitaji kubishana kwenye hili.
Well said,
Ila una alternative?
 
Ni heri tungebaki na PSG kuliko hao watukutu wa jiji la Madrid.

Mara ya mwisho kukutana nao ilikuwa kwenye kombe la Europa League walituchomoa na wakaenda kushinda kombe hilo wakiwa na Radamel Falcao.

Binafsi sikuwa na wasiwasi na fixture yetu na PSG kwetu PSG ni timu nyepesi sana kuliko Atletico kama tungepangwa na timu yoyote ya Spain ni heri tungepangiwa PSG.
PSG ipo Ufaransa, siyo Uhispania.
 
et mwalimu wa klop iz nyumbu znajuaga kudanganywa sa mwalm wa klop akafundishe l.moscow

Sent using motorola 78
Mpira wa man UTD ni Sawa na mpira wa Leeds UTD,Kukimbia kimbia kwenye pitch,mipira kupotea ndani ya dk chache short on target na short off target chachee huku ball possession zikiwa juu.

RR ni biesla ambaye ni motivational speaker ALIE ingia town hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom