Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....
Hahaha!
 
Acha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....
norwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wap

Sent using motorola 78
 
norwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wap

Sent using motorola 78
Sidhani kama unajua tunachokiongelea

Tafuta wa kubishana nao na sio mimi mdau nilishatoka kwenye huo ujinga
 
norwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wap

Sent using motorola 78
Leeds me nimempiga goli 5nikaja mpiga goli 6 huko nyuma akja akala goli 4 tena zote Ni ligi huyo Norwich anacheza spirit wana kocha mpya tena Ni Dean Smith utakutana naye marudio utajaleta mrejesho nakukumbusha huyo Leeds wako hajawahi kunifunga toka aje ila ww kashafukunga na anatoa draw na ww Tena penalty hongereni Chelpenat
 
Hahahaa nimeshindwa hata kusoma comments zingine watu wanazingua humu. Yaani kocha analaumiwa tayari ndani ya mechi mbili tu?

Binafsi nimeona improvement kubwa sana. Clean sheets mbili ndani ya mechi mbili, tulicheza mechi 14 tukapata clean sheets mbili tu. Target kubwa ya Ralf kwa sasa ni kurudisha hali ya kujiamini ya wachezaji ambayo ilipotea. Hii inakuja kwa kushinda mfululizo regardless ya unavyocheza.

Inaonekana watu hawafuatilii vizuri mambo yanayoendelea nyuma ya wachezaji kuwa uwanjani. Toka Ralf amefika hajafanya full training na timu nzima bado anafanya nao kwa makundi makundi wengi huwa walikuwa wanapumzika kila baada ya mchezo mmoja. Leo timu inasafiri kutoka Norwich kwenda London tunawafuata Brentford maana yake wana siku moja tu ya ku-train kesho tu. Sio kazi rahisi hii kwa kocha mpya.

Sehemu kubwa ni video footage. Bado hajafanya nao mazoezi ya zaidi ya masaa 72 sio rahisi kwa kocha mpya kubadili mfumo haraka haraka. Naamini mabadiliko yataanza kuonekana kuanzia mwezi wa kwanza tukirudi ktk fixtures za week to week. Sasa hivi tuanahitaji kuchukua alama tatu tatu kwanza kila mchezo.
 
Leeds tangu apande ligi kamfunga Chelsea lini Mbona unatoa matangopori
 
Wakubeti hao wasikupe shida
 
Hehehehee, ndiye anpayetubeba mpk ss utake usitake, nitajie mchezaji aliyemzidi kwa mabao pale man u mpk ss, kama hamna basi kubali tu mkuu, awe anajiangusha au anaotea au anabahatisha lkn ukweli utabaki kwamba huna forward nyingine inayo deliver pale utd zaidi ya cr7.
 
Hii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.

I hate this kind of footballers.
Afadhali umeongea mpira
 
Hii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.

I hate this kind of footballers.
Hivi wewe jamaa ni timu gani ,Jana kila uzi umeingia kuropoka kuhusu penalty ,hivi unataka kusema wale mareferee wote wa city ,liverpool ,Chelsea ,man utd walikubaliana kugawa penalty za bure ...au unamatatizo mengine
 
Mcheza kamari uyo
 
Pep aliingia na kuleta direct impact team gani?
 
RR anahukumiwa kwa mechi tatu za mwanzo ambazo ameshinda ila sosha amevumiliwa miaka mitatu amesajili wachezaji anao wahitaji na kila kitu alipewa. Leo hii RR analaumiwa kuwepo man u kwa mechi tatu katikati ya msimu, hajafanya hata usajili kupata wachezaji anao wataka. Tujitahidi kuwa serious na kuanza kuelewa kuwa mafanikio ni hatua na ili uweze kupata kitu kilicho bora lazima upate muda wa kutosha kukiandaa.

Pep msimu wake wa kwanza ameshika nafasi ya tatu licha ya kuikuta timu ikiwa na world class player ila alihitaji muda kuandaa kitu anacho kitaka. Same kwa kloop alisafisha first eleven yote alio ikuta pale lfc kuanzia kipa mpaka striker ameacha wachezaji wawili wawili tu toka first eleven ilio kuwepo.

Leo hii watu mnataka RR acheze geng kama ya liver wakati kloop ana sadio mane sisi tuna rashid mwanasiasa.
 
Hii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.

I hate this kind of footballers.
Kwa upande wa Ronaldo ni kweli kabisa ulicho sema ila uhalali wa penalt ile ni halali mkuu, ukiangalia yule beki hakuwa na dhamira yoyote ya kuucheza mpira zaidi ya yeye kumzingatia ronaldo hajafanya attemptyoyote kuuelekea mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…