Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi huyu kocha huwa anawaza nini kumuanzisha rashford mbele ya greenwood, kwa nini yeye rashford asimsubir greenwood

Yaani rashford ni kama martial tu, ni kati ya vijana wenye papara kwenye utendaji wao wa kazi, ampe nafasi Mason awaoneshe kazi jinsi inavyofanywa na si hao wakina rashford wanaotuletea utoto kila siku uwanjani
 
Hata mimi anapendelea Greenwood kuliko Rashford.
 
mKuu MARTIAL mbona ni wajina wako na unamsema vibaya .
Hivi huyu kocha huwa anawaza nini kumuanzisha rashford mbele ya greenwood, kwa nini yeye rashford asimsubir greenwood

Yaani rashford ni kama martial tu, ni kati ya vijana wenye papara kwenye utendaji wao wa kazi, ampe nafasi Mason awaoneshe kazi jinsi inavyofanywa na si hao wakina rashford wanaotuletea utoto kila siku uwanjani
 
Hivi huyu kocha huwa anawaza nini kumuanzisha rashford mbele ya greenwood, kwa nini yeye rashford asimsubir greenwood

Yaani rashford ni kama martial tu, ni kati ya vijana wenye papara kwenye utendaji wao wa kazi, ampe nafasi Mason awaoneshe kazi jinsi inavyofanywa na si hao wakina rashford wanaotuletea utoto kila siku uwanjani
Tulia mdau tuachie timu yetu kama hujapendezwa
 
Back
Top Bottom