Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Nini kimewatokea Klopp na Tuchel, mbona yale makeke yao yao hamna kabisa leo?
Manage your expectations.Kesho mapema sana nakodolea kideo kuona little details za Ralf..japokuwa ni mapema but we have to see something different.
& emotionsManage your expectations.
Kosa kubwa zaidi ni kumtoa Adama kuliko kupaki basi, Adama alikua anawachachafya vibaya mno.hawa wolves, wamekosea sana kuchukua maamuzi ya kupaki basi mwishoni. people never learn from facts, never from history, never from mistakes of others, and never from their own mistakes.
Wamelala yoooh wolves wajinga kweli yan ....Kosa kubwa zaidi ni kumtoa Adama kuliko kupaki basi, Adama alikua anawachachafya vibaya mno.
Kitendo cha kumtoa tu imewapa nafasi majogoo kushambulia kwa nguvu zote pasi na kuhofia kutokea madhara kwenye goli lao.
Style ya Mou ishapitwa na wajati.Dah mpira wa ujanja ujanja hauna nafasi......huko italy Mourinho amepigwa 3 - 0 dakika ya 40
"Let's the boys enjoy there"..
Ole bhana
Makocha wanabeti aisee ni vile hatujui tu...Kosa kubwa zaidi ni kumtoa Adama kuliko kupaki basi, Adama alikua anawachachafya vibaya mno.
Kitendo cha kumtoa tu imewapa nafasi majogoo kushambulia kwa nguvu zote pasi na kuhofia kutokea madhara kwenye goli lao.
Na roma ile ulitegemea mou atakua na maajabu kweli.....roma kama spurs tu pale ilipoDah mpira wa ujanja ujanja hauna nafasi......huko italy Mourinho amepigwa 3 - 0 dakika ya 40
Muamsheni ndotoniBarcelona president Joan Laporta: "The Super League will be the most attractive tournament in the world. The English clubs left because of politics, but now they want to come back."
manutd |
#GGMUView attachment 2032646



