Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi sita za EPL dhidi ya Arsenal hatujashinda hata moja..D3,L3....We have to win this..surely.

My Starting XI

=======

De Gea

AWB Lindelof Bailly Telles

VdB Matic Fred

Sancho Ronaldo Rashford

=======

But nadhani Carrick atamrudisha Maguire kikosini na pia Fernandes ataanza.

AWB amekuwa hovyo ila ukiangalia replacement yake ya Diogo Dalot bado ni mchechemo tu vilevile defensively..Saka na Smith Rowe watamtesa sana Dalot on flanks ndo maana naona AWB acheze tu ili kusaidia kidogo..Kuhusu RB,ni muda wa kuandaa mchezaji mpya eneo hilo.

McTominay is a hider..jamaa kanajificha hakataki hata kapewa mpira ili kasipewe lawama..kuna muda unasahau kama hata yupo uwanjani..anakimbia mpira..I won't starts him in my team to be honest..He's absolutely useless..His positioning off-ball ni kitu cha kukiangalia sana..
Kwa hii timu uiyoipanga ni ngumu kuwin match, United ni wazuri going forward lakini unahitaji kuwin possession
Sasa unawin vipi possession kama timu haiwezi kupress? ugumu wa kushinda mechi kama hizi unaanzia hapo.

Nikimuangalia Ronaldo, Matic, Sancho timu inakuwa half hearted sioni pressure km vile Liverpool wanavyo kulazimisha ufanye individual errors kwenye Half yako, ndio maana mimi km arsenal fan kwa hii squad yenu inanipa confidence. Kama Arsenal tukiwa technically secure tunawin, japo kuna exception cases km Transition zinaweza kutuua kutokana na inexperience of our players.
 
1638457658279.png

watu wanapiga hela
 
Kama Arsenal tukiwa technically secure tunawin, japo kuna exception cases km Transition zinaweza kutuua kutokana na inexperience of our players.
kwa nini munapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako na baadhi ya wenzako baada ya kufungwa na liverpool FC pia mulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.

hivi ishu ni uzoefu kama unavyozungumza au ni kukosa kwenu wachezaji wenye ubora kuanzia wale wanaoanza kikosini mpaka wale wanaokaa benchi ndio sababu ya kushindwa kufanya vizuri dhidi ya timu zenye ubora kama vile liverpool, manchester city na chelsea?

kwa mfano wachezaji vijana kama vile smith rowe na bukayo saka wana msimu wa pili huu wanacheza kila wiki kwenye timu yenu, sasa inawezekana vipi mchezaji mfano wa pepe, elneny wote kwa pamoja wawekwe benchi na wachezaji wasiokuwa na uzoefu wa kimashindano.

Naamini changamoto kubwa inayowakabili ni kuwa na kundi dogo sana la wachezaji wenye ubora ukilinganisha na timu tatu nilizozitaja hapo juu na si uzoefu.
 
kwa nini unapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako baada ya kufungwa na liverpool FC pia ulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.

hivi ishu ni uzoefu kama unavyozungumza au ni kukosa kwenu wachezaji wenye ubora kuanzia wale wanaoanza kikosini mpaka wale wanaokaa benchi ndio sababu ya kushindwa kufanya vizuri dhidi ya timu zenye ubora kama vile liverpool, manchester city na chelsea?

kwa mfano wachezaji vijana kama vile smith rowe na bukayo saka wana msimu wa pili huu wanacheza kila wiki kwenye timu yenu, sasa inawezekana vipi mchezaji mfano wa pepe, elneny wote kwa pamoja wawekwe benchi na wachezaji wasiokuwa na uzoefu wa kimashindano.

Naamini changamoto kubwa inayowakabili ni kuwa na kundi dogo sana la wachezaji wenye ubora na si uzoefu.
Mchezaji kama Saka na ESR wanakupa profile & quality ya kuimplement vizuri system yako kama kocha, au kwa maana nyingine wanacomplete well their roles within Arteta's structure kuliko hawa kina Pepe & El neny.

Kipaji pekee hakitoshi kukufanya ukacheza big games, unahitaji experience kujua hizo mechi zinachezwaje, decision making yake inakuaje, mental issue kwa ujumla ya mchezaji inatakiwa iweje kwenye these kind of games.

Kutake risk decision making unahitaji experience, mchezaji unaweza kuwa na quality lakini unasecond doubt kwenye decision making yako ndio unaona yale ya Lokonga & Nuno Tavares against Liverpool. Kwa aina hizi za game makocha wengi wanamatch tactics (yaani mzani unabalance) kinachobakia huwa ni profile ya mchezaji kitu ambacho experience inachangia. Unaweza kuangalia vs Liverpool tuliconcede only set pices goal in FH, ila Second half pressure inazidi tinashindwa kucontrol game mechi inamalizwa na individual errors.
 
kwa nini munapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako na baadhi ya wenzako baada ya kufungwa na liverpool FC pia mulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.

hivi ishu ni uzoefu kama unavyozungumza au ni kukosa kwenu wachezaji wenye ubora kuanzia wale wanaoanza kikosini mpaka wale wanaokaa benchi ndio sababu ya kushindwa kufanya vizuri dhidi ya timu zenye ubora kama vile liverpool, manchester city na chelsea?

kwa mfano wachezaji vijana kama vile smith rowe na bukayo saka wana msimu wa pili huu wanacheza kila wiki kwenye timu yenu, sasa inawezekana vipi mchezaji mfano wa pepe, elneny wote kwa pamoja wawekwe benchi na wachezaji wasiokuwa na uzoefu wa kimashindano.

Naamini changamoto kubwa inayowakabili ni kuwa na kundi dogo sana la wachezaji wenye ubora ukilinganisha na timu tatu nilizozitaja hapo juu na si uzoefu.
Mfano mkuu nikuulize kitu kimoja, Van dijk anaweza kuhold high line press against any team in the World mfano. tuliona vs Barca ila mechi Liver anashinda 4-0,

Gabriel(Arsenal) anaweza kuhold high line press against average teams in the league, sasa kwanini against sharks anakuwa Passive? Ukiwa uanelewa mpira utaelewa nachosema hapa
 
Mchezaji kama Saka na ESR wanakupa profile & quality ya kuimplement vizuri system yako kama kocha, au kwa maana nyingine wanacomplete well their roles within Arteta's structure kuliko hawa kina Pepe & El neny.
now nimeona improvement kubwa sana ya kujadili mambo tofauti na ulivyokuwa mwanzoni,
kwa leo hii ishu tuiweke kiporo, nitarudi tena.
shukrani brother.
 
dah! huu msimamo wa ligi kuu ya msimu huu umeshagawanya magiants na mapema, ina maana sisi wengine tunaigombania nafasi ya nne.
Ole ametunyonya vibaya sana, paul merson anasema Ole ameharibiwa plan zake baada ya kusajiliwa kwa ronaldo.
 
Back
Top Bottom