John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Hata Ronaldo piaTuchel alichoweza leo ni kula card ya njano

Hata Ronaldo piaTuchel alichoweza leo ni kula card ya njano

Kwanini vitambaa vya unaodha vina rangi hiyo?

Hakika dunia inakwenda kasi sana ni kwamba hao viumbe wapewea na siku ya kusherekea kabisa?
Ndy kwanza umeanza kutumia smart phone? Mbona unaandika mikojo kiasi hiki?Anaeongoza Ligi amepata drop kwa kuonesha Moira mzuri lakini bado anashambuliwa. Kwa kiwango like Cha Man Utd bado kunahitajita kazi ya Ziada ili iweze kuleta ushindani kwa top temas.
Hongereni ndugu kwa kupata drop darajani, bado mechi nyingi mbele muda ni mwalimu.
Mkuuu wala hujakosea uko sawa kabisa taratibu naaanza kuacha kupenda mpira kabisaaa kma mambo menyewe ndio hayo wazungu ni washenzi sanamKuu mimi kwa ufahamu wangu hizo rangi humaanisha Bendera ya Mashoga na Wasaganaji ko kuwepo hapo mimi nahisi ni kama wanafanya jitihada za kuunga Mkono harakati za ushoga na Usaganaji duniani Pia niliona hata kwenye UEFA Nation walikuwa wanavaa hizi mambo mpaka ilifikia kipindi Emmanuel Nuer kama sikosei aligoma kivaa hichi kitambaa sababu Ujerumani hairuhusu ushoga kitu kama hicho kama niko sawa.
Mkuu samahani kwa uhandishi mbovu, Kuna ka simu flani hivi naona touch yake siyo rafiki sana...pia kumbuka leo no weekend mikono imeanza kutetemeka.Ndy kwanza umeanza kutumia smart phone? Mbona unaandika mikojo kiasi hiki?
.
Mkuuu wala hujakosea uko sawa kabisa taratibu naaanza kuacha kupenda mpira kabisaaa kma mambo menyewe ndio hayo wazungu ni washenzi sana
Hii table hao watatu hapo juu ....
Au sio na sare mkaitafutaTuchel atafanya kitu kipindi cha pili.
Hawa Kunguni wanafungika...
Siku hizi watoto wapumbavu ndo wamejaa humu.Ningependa turejee kama mwanzo tujadili mpira kwa lugha ya staha.
Haya mambo ya matusi au lugha za kebehi tuziweke kando.
Najua wapo watu wa mpira bahati mbaya leo niko Safari sikuangalia mechi ya leo.Lingekuwa jambo la maana kama wangekuja wadai wa mpira kutuelezea kuhusu game plan,mbinu na nk. Kwa Team zote.
Wadau wa mpira ebu turejeshe heshima ya jukwaa letu pendwa tuzungumze mambo ya maana tuachane na masuala ya utoto.
Shule hamna humo mdauNdy kwanza umeanza kutumia smart phone? Mbona unaandika mikojo kiasi hiki?