Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fred kapewa pass na Mendy then kamrudishia Mendy Tena pass .....wakati Ronaldo alikuwa pale .....

Nyumbu ni nyumbu tu hahahaaaa
 
Man u ina kikosi kipana kuliko Chelshit, kukosa huruma ya refa tulikuwa tumeshinda mechi leo.
Mbwembwe za wachezaji kukamia hizi mechi 2 au 3 za mwanzo baada ya kutimuliwa OGS ili wadhihirishe kuwa wako vizuri isipokuwa tu Kocha aliyefukuzwa ndiye aliyekuwa mbovu.

Muda utaongea tu kwa mechi 3 zijazo, ndipo utajua rangi halisi ya Mwantesa Utd ni nyeupe au nyeusi
 
Hivi tunashindwa nini kupiga walau pass 4/5 kwenda mbele wakati tunatengeneza mashambulizi?
Tumekuwa kama burnley inacheza na prime liverpool au city!
Hawa ni chelsea tu wenye chalobah,odoi,loftus-cheek lakini tunashindwa kuwamiliki kiuchezaji!
Kante, Kovacic, Chilwel majeruhi.
 
Mshaanza viteteo? Kutoka kusema mnakikosi cha kushinda 5....sahizi mnasema majeruhi
Nyumbu ni Nyumbu tu, mechi 2 tu kelele kila kona ya dunia mkishangilia kuwa hakuna Kocha zaidi ya Carrick.

Tuweke akiba ya maneno kwa mechi 3 zijazo tuone kama kweli Mwantesa Utd ni timu bora au ni bora timu.
 
Hao takataka wa daraja la ovyo wanamashabiki wa ovyo sana....

Toka juzi unawaona wanasema mara bao, mara tako mara sijui kumshikisha ukuta ni watu wa ovyo.....leo tumewafundisha mpira sio mdomoni pia mendy ametaka kuwachoma mara 2 ....

Hawajadili mpira utasikia tuchelball shenziii kabisa
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea ni kundi la watu wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 sijawahi kuwachukulia serious. Wengi wao they are emotional driven. (same WhatsApp group na mashabiki wa Manchester City)

Utaona hapa wanakuja tu kutukana hata kama kuna muda mnahitaji kufanya majadiliano mazuri kuhusu mpira. Wao wanaweka hisia mbele kama watoto wa kike. Mwisho wa siku mnaonekana wote ni dhaifu na watoto.
 
We ndiwe mtoto wa kike, lini uliona mi nimemtukana humu mshabiki wa Mwantesa Utd zaidi yako wewe pekee leo hii?
 
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Chelsea ni kundi la watu wenye umri wa miaka 15 mpaka 24 sijawahi kuwachukulia serious. Wengi wao they are emotional driven. (same WhatsApp group na mashabiki wa Manchester City)

Utaona hapa wanakuja tu kutukana hata kama kuna muda mnahitaji kufanya majadiliano mazuri kuhusu mpira. Wao wanaweka hisia mbele kama watoto wa kike. Mwisho wa siku mnaonekana wote ni dhaifu na watoto.
We mzembe wewe una miaka mingapi!?
 
Back
Top Bottom