fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
amefikia mwisho kama Ole alivyofikia mwisho wa uwezo wake,usitegemee zaidi ya hapo mkuuRashford bado safari ni ndefu kuacha utoto.
amefikia mwisho kama Ole alivyofikia mwisho wa uwezo wake,usitegemee zaidi ya hapo mkuuRashford bado safari ni ndefu kuacha utoto.
Hao takataka wa daraja la ovyo wanamashabiki wa ovyo sana....Man u ina kikosi kipana kuliko Chelshit, kukosa huruma ya refa tulikuwa tumeshinda mechi leo.
Mkuuu mie nakuheshimu sana ww si wakuongea hayo maneno kweli unasema kabsa huruma ya refa? kwa Chelsea au kwa man u?mkuu THE BEST 007?Man u ina kikosi kipana kuliko Chelshit, kukosa huruma ya refa tulikuwa tumeshinda mechi leo.


.
Man u ina kikosi kipana kuliko Chelshit, kukosa huruma ya refa tulikuwa tumeshinda mechi leo.
Cr7 kubwa jinga kabisa kaingia dakika chache tu kalimwa kadi
Swa bro kma niongea uongo nakubali sipo timamu mkuuu ila kma kweli huenda ww brother ndio hauko timamuHauko Timamu Broh.

Swa bro kma niongea uongo nakubali sipo timamu mkuuu ila kma kweli huenda ww brother ndio hauko timamu
Sawa mkuu basi tuache kama ilivyo.Mkuuu mie nakuheshimu sana ww si wakuongea hayo maneno kweli unasema kabsa huruma ya refa? kwa Chelsea au kwa man u?mkuu THE BEST 007?