MataAondoe mizigo ss, kina Matic, Martial, Lingard wanakula pensheni tu pale.
Babu abaki kuwa shabiki tu kama sisiAlex failed on succession Planning and Implementation, and more on change management. the hopeless situation Man Utd has found itself in is more a thing of his handwork.
Waondokee Kwa lipi?!!!Mata
Matic
Phil Jones
Bailly
Cavani
Hawa ni watu ambao wanatakiwa waondoke tena United.
Wanamatumizi yapi kwa sasa ?Waondokee Kwa lipi?!!!
Mkuu Pedro Goncalves siyo level ya Rashford hata kidogo.I co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Yes Lingard atakuwa favourite lakini huenda Daniel James angekuwa regular starterKwa mpira anaopendelea yeye, Lingard anaweza kuwa favourite kwake
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Huyu dogo anaujua mpira mpaka kero aiseeeMkuuu huyo Gallagher ni Mali hali ya TT hiko kitendo cha ujunjifu wa nyumba za watu utafungwa
DahManguire ana kichwa kikubwa kama Transfoma.
Manguire anatoa maboko sana uwanjani kwa sababu kichwa chake kinachukua wiki nzima kuchakata maelekezo ya kocha uwanjani
Wiki inayofuata akiingia uwanjani anafanyia kazi maelekezo ya mechi ya wiki iliyopita ndio maana anaendelea kutoa maboko.
Huyo Pedro Goncalves ni mtu na nusu Ana njaa hatari, alafu pesa yake ya kawaida tu anachukulikaI co-sign this. Phil Jones pia.
Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia
Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.
Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.
Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Hahaha, umemkumbuka digidigiYes Lingard atakuwa favourite lakini huenda Daniel James angekuwa regular starter
Hahaa umenikumbusha Mo Salah aliposajiliwa L'pool usajili wake ulipigwa vita sana kwamba ali-flop EPL iweje Klopp amrejeshe? Pedro hajawahi kucheza mechi yoyote ile ya EPL akiwa Wolves. Aliomba kuondoka mwenyewe msimu wake wa kwanza Ureno alikuwa mchezaji bora wa ligi kijana, maana yake kuna sbb za msingi zilimfanya asiwe anacheza Wolves.Wewe mkuu upo serious yani umtoe Rashford umsajili Pedro Goncalves? au haufahamu alicheza Wolves akaflop??
Rashford ni mchezaji mzuri sana huwa anatendea haki sana wing ya kushoto ukitaka uamini angalia game aliyorudi alafu pia angalia martial na sancho wakiwa upande huo
That's surely..yule James angepimpiwa akae vizuri.Yes Lingard atakuwa favourite lakini huenda Daniel James angekuwa regular starter
Work rate yake ni kubwa sana unapofanya pressing unahitaji watu wasiochoka kama hao.
Kwa kweli, yule dogo ni pundaWork rate yake ni kubwa sana unapofanya pressing unahitaji watu wasiochoka kama hao.
hujielewi, umetoka huko ulikotoka na kukutupukia hapa.Hizi story zenu za kahawa bwana, Eti unakumbuka kuna siku OLE alifokewa na Fargie kisa kumuanzisha Ronaldo benchi? Ulisikia wapi, wewe ni nani pale UTD hadi uyashuhudie yoote hayo? 😅😅
Acheni kujifanya mnaijua sana hii team, mnajikuta mnaajua sana ukocha na roporopo nyingi tu kuhusu mpira kumbe ni viande tu.
Yani unataka kuwaamisha watu kwamba OLE ni kocha mzuri,isipokuwa Ronaldo ndo kasababisha ashindwe? Huko UEFA li team lilikuwa linazidiwa kila kitu, linaokolewa na juhudi binafsi za Ronaldo.
Unasema OLE ni kocha mzuri kaangushwa na Ronaldo? Atleast angekuwa anapoteza huku akicheza mpira unaoeleweka ningekubali, lakini sasa li-team lote lilikuwa hovyo unawezaje kum-point out Ronaldo pekee???