Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MY STARTING XI vs VILLAREAL
=======

De Gea (C)

AWB Bailly Lindelof Telles

Fernandes Fred VdB

Sancho Ronaldo Rashford

========

De Gea Captain

Lakini tutashangaa Maguire anaanza huku amevalia armband ya ukapteni.
Tunampigia Chapuo mdogo ake Sosha arudi man u ili awe kocha. Lengo ni kulinda DNA ya timu.
 
Unajua kinachoiuna man kwa upande wa pili ni hao wanao waita LEGENDARY akina Paulo
Na hao familia ya NEVELIS MTU NA KAKA YAKE HAO AKINA OWENI NA AKINA FARGASON KWA NII WASIACHE NA KUAMINI MUDA WAO UMEPITA NAO WAPITWE? HIKO KITU CHA DNA KIMETOKA WAP? NA KIMEANZA LINI UPUUUZ HUO BARCELONA NDIO WANAO MAN U WAP NA WAP
DNA muhimu. Sisi mashabiki wa man u lazima tupiganie mdogo ake sosha aje amrithi kaka yake.
 
Mark Hughes yuko tayari kuwa meneja wa muda ingawaje anampigia upatu Pochettino arithi mikoba ya Solskjaer

PSX_20211123_181639.jpg
 
Vander Beek angecheza badala ya Pogba ambaye hana mapenzi na timu na yuko kibiashara zaidi kuliko kimchezo.

Mkakati wa Pogba ni kuondoka bila kubanwa na mkataba na alipwe yeye hela ya usajili kitita kinachokadiriwa £20 MILL adult zaidi ya bilioni 90 za kitanzania

PSX_20211123_181747.jpg
 
Zlatan awaasa Manutd waache kuongelea mafanikio ya zamani au waende hospital wakatibiwe.View attachment 2021109
Na hichi ndo kinatuuwa past, DNA sijui takataka gani makombe ni vitu vimepita hizi ni era mpya mambo yamebadilika tunatakiwa timu iwe focused na sasa tunahitaji kuchezaje ili tufike wapi na kocha gani mambo ya DNA sijui counter attack shwaaain.
 
Akae benchi awapishe wenzie. Tangia alipokosa penati Old Trafford mechi ambayo Manutd walifungwa moja nunge na Aston Villa anaonekana kapoteza mwelekeo. Kiwango kimeshuka hata kwenye timu ya taifa ya Ureno
PSX_20211123_181856.jpg
 
Na hichi ndo kinatuuwa past, DNA sijui takataka gani makombe ni vitu vimepita hizi ni era mpya mambo yamebadilika tunatakiwa timu iwe focused na sasa tunahitaji kuchezaje ili tufike wapi na kocha gani mambo ya DNA sijui counter attack shwaaain.
Inabidi tujitafakari sanaaaaaaa vinginevyo maumivu hayataisha
 
Siyo kweli usajili wa CR7 ndiyo umeivuruga timu bali Solskjaer alishindwa kufanya maamuzi magumu ya kuwaweka benchi wachezaji waliokuwa wanapwaya.

Luke Shaw, Wan Bissaka, Fernández, Fred, Maguire viwango vyao vimeshuka mno lakini Solskjaer aliendelea kuwabeba ru badala ya kuwaweka benchi wajipange upya
PSX_20211123_181910.jpg
 
Huyu ni mchovu, hana mbiyo na hajui kuusoma mchezo lakini kapewa hata unahodha sijui Solskjaer alikuwa anafakiri nini.

Siku Solskjaer katimuliwa usiku uleule alienda kula bata na marafiki zake. Wewe umefungwa goli nne moja na kadi nyekundu huoni huo ni.msiba tosha?
PSX_20211123_181926.jpg
 
Vander Beek angecheza badala ya Pogba ambaye hana mapenzi na timu na yuko kibiashara zaidi kuliko kimchezo.

Mkakati wa Pogba ni kuondoka bila kubanwa na mkataba na alipwe yeye hela ya usajili kitita kinachokadiriwa £20 MILL adult zaidi ya bilioni 90 za kitanzania

View attachment 2021114
Mwambie pogba hizo pesa akizipata bongo tunazitaji ujenzi wa madarasa haha utani tu
 
Back
Top Bottom