Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu maisha ya binadamu huwa yapo kama yamepangwa hivi kwa kuzingatia matukio fulani ambayo mtu unaona kabisa kama yamewekwa au yanajirudia....

Ile final ya man u na bayern ile sio coincidence ni ilipangwa man u wawe mabingwa kwa njia yoyote....

Ushawahi kwenda sehemu na kuhisi ushawahi fika pale ila kiukweli hujawahi fika....

Au ushawahi kutana na mtu mkaongea ila ghafla ukakumbuka maongezi hayo ushawahi yafanya na unajua hadi mhusika atajibu nini na kweli anajibu vilevile....
Naona kama unazungumzia " a feeling of Deja vu"
A feeling of having already experienced the present situation.
 
Mkuu maisha ya binadamu huwa yapo kama yamepangwa hivi kwa kuzingatia matukio fulani ambayo mtu unaona kabisa kama yamewekwa au yanajirudia....

Ile final ya man u na bayern ile sio coincidence ni ilipangwa man u wawe mabingwa kwa njia yoyote....

Ushawahi kwenda sehemu na kuhisi ushawahi fika pale ila kiukweli hujawahi fika....

Au ushawahi kutana na mtu mkaongea ila ghafla ukakumbuka maongezi hayo ushawahi yafanya na unajua hadi mhusika atajibu nini na kweli anajibu vilevile....
Mkuu mm nina hiyo issue ya kukutana na watu kwenye eneo jipya na sehemu tofaut tena Kwa mara ya Kwanza ila nikawa kila nikikumbuka baada ya kuachana nao nahisi kama nishawahi kuonana nao mahala flani na kila nikiuliza huwa wanakataa kwamba hatujawahi onana. Nakuwa kama mtu ambae Hilo eneo nilishawahi kuwepo zaman ivi .....so ni kama nakua na memorize tu.(marudio) maana nimekua nakosea watu kila.

Hii Mzee ni nini huwa ?? msaada tujifunze kitu hapa ....
Mshana Jr Rakim
 
Mshkaji anasema Maiko nakupenda na nakufurahia sana na Sasa Nina mcheche kwa sabb umeshapanda juu..wewe ndiye kocha na wachezaji wanajua. Hata cristiano alianza taratibu na bidii katika kipindi kifupi alipaa juu anakapa njia Wajue wanakwenda Villarreal kwenye mechi ya ligi hii katika nafasi hizi za juu nendeni mkashinde...Ole
 
Mkuu mm nina hiyo issue ya kukutana na watu kwenye eneo jipya na sehemu tofaut tena Kwa mara ya Kwanza ila nikawa kila nikikumbuka baada ya kuachana nao nahisi kama nishawahi kuonana nao mahala flani na kila nikiuliza huwa wanakataa kwamba hatujawahi onana. Nakuwa kama mtu ambae Hilo eneo nilishawahi kuwepo zaman ivi .....so ni kama nakua na memorize tu.(marudio) maana nimekua nakosea watu kila.

Hii Mzee ni nini huwa ?? msaada tujifunze kitu hapa ....
Mshana Jr Rakim
Kuna wengine wanasema tuliishawahi kuishi haya haya maisha hapo zamani hivyo tunayarudia.....

Ila mimi naamini kuna muda akili huwa inaenda mbele ya wakati na kurudi ndio hali kama hiyo inatokea kwamaana akili inakuwq imeishatangulia na kuwa na taarifa fulani kabla mwili haujafanya.
 
Yah hiyo kitu ya mwisho nafikir naweza kuungana naww.......
maana hata kuna muda naweza kukumbuka tukio lililowah kutokea muda nyuma na nikalikumbuka kama lilivyo Kwa kuimaginate mpaka Ile speech Kwa percent kubwa.

mfano pia .....mtu anaweza akawa anafanya Jambo la hatari or anachezea kitu cha hatari....naweza nikamuangalia nikajisemea moyoni tu bila kumwambia mtu.... huyu hiki anachofanya kitamdhuru c muda na inaweza chukua muda mchache kinatokea vile vile.

Ngoja noisome hiyo "a feeling of dejavu " kama sijakosea ....
 
Manchester United Legends with Coaching Licences.
1. Steve Bruce
2. Mark Hughes
3. Paul Ince
4. Garry Neville
5. Michael Carrick
6. Jap Stam
7. Roy Keane
8. Phil Neville
9. Patrice Evra
10. Nick But
11. Ole Gunar Solkjaer
12. Wayne Rooney
13. Diego Forlan
14. Mike Phelan
Katika orodha hiyo amekosekana hata legend mmoja wa kuvaa viatu vya Ole ?
 
Back
Top Bottom