Upo sahihi mkuu. Japo kuna makosa baadhi hapo ikiwemo Ronaldo kusajiliwa na Mourinho, he didn't, alisajiliwa kipindi cha Pellegrin.
Hata hivyo nimeelewa overall point yako.
Kusema ukweli mimi sio muumini wa haya masuala ya kusema kikosi kikishakua assembled basi kocha yupo guaranteed kufanikiwa nacho.
Naamini kocha naye anatakiwa kuwa na uwezo. Ntakutajia mifano michache.
Rijkaard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile Guardiola alichukulia treble.
Lampard ali fail kwa kutumia kikosi kile kile TT amekuja kuchukulia uefa.
Carlo ali fail kwa kutumia kikosi kile kile ambacho Hans Flick amekuja kuchukulia treble pale Bayern.
Turudi kwa Zizzou sasa. Wakati akina Mou wanakomaa na Fabio Coentrao (mfano) kama LB, yeye akaona the right person kuwa left back ni Marcelo (it takes great coaching kujua hilo, just as the way Ole didn't know a lot about his best players)
Midfield ya Kroos, Modric na Casemiro Zidane ndo aliweza ku exploit potential yake. Casemiro alikua nothing before Zidane. Waliotangulia walikua wanakomaa na akina Khedira na Illaramendi kwenye DM, Zidane aka stick na Casemiro. This takes great coaching too.
Yapo mengine sana Zizzou ali develop katika kipindi chake ambayo hatuwezi ya ignore.
Faith ya Zidane kwa vijana ni kubwa nadhani kuliko makocha wengi sana kwa sasa.
Record ya most consecutive wins pale la liga ambayo ilikua inashikiliwa na Enrique kwa 39 games, Zizzou ndo aliivunja. Yeye ana 40 nadhani.
Zizzou amechukua la liga katika second coming yake akiwa na kikosi average compared to Barca na Atletico.
Kwa maoni yangu, Zidane ni underated. Kama tu Pep alivyoondokaga Barca ikasemekana hatafanikiwa ligi ya uingereza etc