Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Coaching staff too British some players complained
Upumbavu huu yeye Ronaldo atulie..
Bailly kuwekwa nje na Maguire kilaza na ambaye ana majeraha..refer ile game aliyochomesha goli mbili.What does the "coaching bench is too British" mean?
Mkuu naomba nimsaidie jamaa....Issue sio mkataba kununulika, ni wenye mkataba kukubali kuuza mkataba. Levy akisema no, its no. Refer Kane to city scenario. City walifika bei but levy refused
ohooo, I missed this one.Bailly kuwekwa nje na Maguire kilaza na ambaye ana majeraha..refer ile game aliyochomesha goli mbili.
McTominay kucheza mbele ya VdB every damn day..yaani hamna hata siku moja kocha alisema em ngoja nimuanzishe hata VdB.
Rushford ndio huwa simuelewi kabsaaaAkija kocha serious na asiyeingiliwa majukumu yake na akina Ed kwa malengo ya kibiashara nadhani man utd itapoteza wachezaji wengi sana ambao leo tunawaita cream.
. Pogba
. Maguire
. Wanbisaka
. Scott
Martial
Rashfors atapewa muda aimarike la sivyo atapotezwa.
Yeye mwenyewe Luis Enrique kafutilia mbali hizo tetesi.....jiandae na kina Carrick km ma interim managers kwanza

Mkuuu kma nimekuelewa hiv unataka kusema kirus ni KIJANA WAO MPENDWA? CR7?
Villareal hawaachi mtu wangemwacha tu ademedeme tu hadi wapate wa kumzidi sasa Carrick sijui unafuu wake ni upiYeye mwenyewe Luis Enrique kafutilia mbali hizo tetesi.....jiandae na kina Carrick km ma interim managers kwanza![]()
Gasperin swaIssue sio mkataba kununulika, ni wenye mkataba kukubali kuuza mkataba. Levy akisema no, its no. Refer Kane to city scenario. City walifika bei but levy refused