Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na makosa ya beki kuruhusu goli ila kuna udhaifu mkubwa kwenye kushambulia tunakosa magoli mengi sana
 
lol Keep looking up, who are ya!? who are ya?
! who are ya!?
 
Wakati wapinzani wetu wanapata ushindi kiulaini sisi tunafungwa nyumbani,now inabidi kupigania top four
 
Played really well, missed a lot of chances, failed to score, and we are beaten.....

#Painful

#ManUnited all the way.....
This another EPL Nzi hutaki tupa kureeeeeee, hiyo inaitwa chenga twawala...ngoja nipitie kwa mama mburula nikagonge bia
 
Last edited by a moderator:
Officially the mid table team. From the Champion to the mid-table position within six, seven months? Nobody could see this coming.
 
Mwaka Hui hata5bora mtaisikia kwajilan
Pamoja na makosa ya beki kuruhusu goli ila kuna udhaifu mkubwa kwenye kushambulia tunakosa magoli mengi sana
uzembe mkubwa sana
manure cjui wamelogwa?
Hasara tupu mwaka huu
Wakati wapinzani wetu wanapata ushindi kiulaini sisi tunafungwa nyumbani,now inabidi kupigania top four
Msiliie jamani....sio mbaya m-meporomoka nafasi moja tu(( 9 position)...u have enough time to comeback!!
 
Ilikuwa gape la Point 5 kutoka kwa anayeongoza ligi ikasogea mpaka 7 ikafika 9 na sasa ni pont 12. Duu Graph ilikuwa inapanda kwa range ya 2 lakini kwa sasa ni range ya 3, Hataaari Saaana.
BTW naona watu walikuwa wanausubiria mwezi Desemba na ndio huooo! Umeanza.
 
Kweli nimeamini Original ni Original tu Maana ilikuwa ni Everton Original Vs Everton feki.
 
Back
Top Bottom