Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
unajua hapa mimi hata usingizi sipati wewe unaleta utani.....ohhoooo tusije kulaumiana...........
Hahahahahahahaha kwaheri mkuu usije nipiga risasi kisa Mpira. Hahahahahahahaha.
unajua hapa mimi hata usingizi sipati wewe unaleta utani.....ohhoooo tusije kulaumiana...........
hahahahahahahaha kwaheri mkuu usije nipiga risasi kisa mpira. Hahahahahahahaha.
rudi kwenu kwani hamna dstv au unazi tu unakusumbua......kwa kweli im disappointed hali ni mbaya...anyway we still hope for the best.......
Mtazoea tu Msijali Jamani Mbona kawaida.
unajua hapa mimi hata usingizi sipati wewe unaleta utani.....ohhoooo tusije kulaumiana...........
Man City kwa mwendo wa kilevi? unaumwa tena sehemu mbaya!Suarez on top.
Wenger kajua kuwakamata mashabiki wa arsenal.
Mourinho kaamka.
Everton anakuja.
Man city na mwendo wa mlevi,anayumba lakini anafika.
Liverpool kama kinyonga,anabadilika huku anasonga.
Ligi haina mwenyewe,kwaheri Fugerson ila nakushangaa kwanini uliamua kuondoka na timu yako.
"Nlikuwepo":bolt:
Hamna bundi ndo kiwango chenu kimeishia hapo!Duh
Mwaka huu mgumu sana kama kuna Bundi.
too bad Broo....Na Newcastle hawawaachi jmosi.Ilikuwa gape la Point 5 kutoka kwa anayeongoza ligi ikasogea mpaka 7 ikafika 9 na sasa ni pont 12. Duu Graph ilikuwa inapanda kwa range ya 2 lakini kwa sasa ni range ya 3, Hataaari Saaana.
BTW naona watu walikuwa wanausubiria mwezi Desemba na ndio huooo! Umeanza.
Suarez on top.