Kuna haja ya Kuingia Januzaj/Luis Nani/Tom Cleverly for Welbeck/Kagawa/Giggs
Game ina ushindani sana ,kinachotakiwa ni goli kutuliza pressure huyo Lukaku sio wa kumwacha kabisa last season alifunga hattrick hapa OT
Gud Sub For Valencia kurudi nyuma itasaidia kuongeza mashambulizi pia Rafael alishaanza kuchemka