Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Talles kuanza mbele ya Show hiyo siungi mkono.
Show ni mtu na nusu, mchawi ni uwezo wa mwalimu tulie nae.
Mzee yani kwa sasa kikosi kinachoanza utakiona kizuri kwa sababu huyo telles kucheza tu mtihani....

Same case na wakina dalot na kina vdb watu hawapati gametime ya kutosha ubora wao utauonea wapi...nafahamu kuna watu wanaperform hata huo muda mfupi ila ni wachezaji wachache sana wako hivyo duniani...wengi mpaka wazoee

Kwa sasa utamuona shaw kitasa kwa sababu anayemfatia hata hapewi muda wa kujiprove ni bora
Muangalie bailly .....

Utashangaa mechi inayokuja haanzi

Bwana ole sijui ana picha za utupu za kina glazer?? aaaah bhana .... anyway #oleout
 
Nimekubali Sorkjaer hana uwezo wa kuwa kocha wa Manchester United, labda apewe ya watoto.
Mkuu umerudi, nilitaka niwastue wana jamaa nimemuona sehemu
Screenshot_20211103-204600.jpg
 
Maguire ana matatizo mengi sana ukiondoa recklessness.

Maguire ana tatizo kubwa la positioning kitu ambacho huwafanya wenzake wafanye makosa pia.

Hana tactical awareness kama defenders wengine ambao ni last defenders.

Ni captain lakini hana leadership yoyote zaidi ya kuwa na kichwa kikubwa tu kuliko wachezaji wengine wote uwanjani.

Hawezi kuresist pressing hata ya mtu mmoja.

Kifupi Lindelof huwa anajitahidi sana kuficha makosa ya huyu mwamba.

Angalia mechi ambazo Lindelof amecheza na Bailly ana cleansheet nyingi kuliko walizocheza na Maguire kwenye timu ya taifa always Lindelof ni man of the match katika timu yenye kundi kubwa la wachezaji average with loads of clean sheets.

Mkuu nimeiweka vizuri
 
Bado nashindwa kuamua niamini nini kati ya haya mawili; Ole kutowapa nafasi wachezaji wengine wa kikosi ni kwa sababu anaogopa kukosolewa na waingereza/wamiliki au ni ufinyu wake kimbinu kiasi kwamba hawezi kutumia uwezo wake kufidia madhaifu ya wachezaji husika?

Kila mechi kwetu imekua kama fainali ya UCL.
 
Maguire ana matatizo mengi sana ukiondoa recklessness.

Maguire ana tatizo kubwa la positioning kitu ambacho huwafanya wenzake wafanye makosa pia.

Hana tactical awareness kama defenders wengine ambao ni last defenders.

Ni captain lakini hana leadership yoyote zaidi ya kuwa na mwili mkubwa tu kuliko wachezaji wengine wote uwanjani.

Hawezi kuresist pressing hata ya mtu mmoja.

Kifupi Lindelof huwa anajitahidi sana kuficha makosa ya huyu mwamba.

Angalia mechi ambazo Lindelof amecheza na Bailly ana cleansheet nyingi kuliko walizocheza na Maguire kwenye timu ya taifa always Lindelof ni man of the match katika timu yenye kundi kubwa la wachezaji average with loads of clean sheets.
Watakuambia hayupo fiti ndio maana anafanya blanda
 
Duuuuh! Kupitia michango ya wachangiaji nimegundua Kuna coaches wa mpira wa miguu lukuki humu ndani, sijajua kwanini tunakwama katika michezo ya kimataifa ilhali tunao wabobevu wa kutosha humu
 
Back
Top Bottom