Siyo muda mrefu sana tunaanza kukisema kichwa chake kikubwa....tunaanza kumlaumu saa ngapi magwayaa
leo tunaanza kumlaumu bailly amejikula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaama kwa mangweaMaguire na Ole hawato tuangusha majirani.
Tunapigwa tano leoNasikitika kukuambia kuwa bado Ole anakula tu mayai na maini pale Old Trafford.
Sent using Jamii Forums mobile app
ole baada ya kuona nyumbu wanamtaka conte akaona isiwe shda ngoja niuige mfumo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi kunguni tayari mshasokomezwa kimoja huko... Tuliwaonya kwamba huo mfumo mnaocheza lazima muwe na beki za kueleweka haya sasa.
kwa mpira gan mlogusa zaid ya kuondosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulieni mechi bado nyie haters
Kweli kk hata Sisi tunaona[emoji23]Hii lineup inaweza kuleta matokeo ya sare ya nunge kwa nunge au Manutd akashinda kwa moja kwa bila View attachment 2000748View attachment 2000749
Na Ole saa ngapi tunaanza kumlaumu?tunaanza kumlaumu saa ngapi magwayaa
Kumbe wamejifungaNyumbu kisha jifunga 0-1 tayari.