Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui wamekwama wapi hawa kenge wakina glazer
IMG_20211102_160246.jpg
 
Kuna muda mwingine muwe mna Heshima hata kidogo basi Mervin 42774277 Maana sioni kama ina sense Nyie sio Shabiki wa Manchester United kinachofanya kuja kwenye UZI WETU tena Mmetanguliza na hivyo Vitambi vyenu na videvu vyenye NDEVU huku mkiwa mmejibebesha na Vyeo cha U BABA mnachokuja kukizungumzia sasa yani wangejua hata watoto wenu wangewachapa hata Viboko yani ni kuendeshea MIJADARA yenu,kuhusu Timu zenu,tena MIJADARA yenyewe haina tija yeyote kwa upande wa Mashabiki wa Manchester United utakuta Posts ni nyingi ila ukiingia ni Posts za Kuzomea,Kubishana kwa Lazima vitu mnavyovijua yana ilimradi tu muonekane na Leo mpo.
Mfano haya maJibizano yenu Leo nimekuta Newest Posts 67 nikajua kuna vitu vya muhimu wadau wameongerea kuhusu Timu labda hata OLE SENDEKA kafukuzwa ila nakutana na kitu cha Ajabu kabisa nikuwa hakuna Cha maana Kilichozungumzwa na waliozungumza Sio Shabiki wa Manchester United bali ni VYIAWA wa OLE na majibizano yanahusu tinu zao,kitu ambacho kinaonyesha kabisa ni Dharau na kutuchukulia Poa Kwamba hatuna cha kuwafanya.
Hivi kinacho shindikana nini mngejuwa mna Bebana mnaenda kwenye Nyuzi ya Mmoja kati yenu Kama ni Nyuzi ya CHELSEA ama MANCHESTER CITY mkajaze vizuri hizo Post zenu na Mabishano yenu yasiyo na Faida kwetu maana naona ni kero tu,PIA mnapaita huku UNYUMBUNI lakini sioni kama kuna mmoja kati yenu ambae anaweza kuishi Jamii Forums bila kupita huku UNYUMBUNI ama panawanogesha nini tupeni siri ili na sisi tutoke humu tukakeshe kwenye Nyuzi zenu.

NOTE:NILIYOYASEMA HAPO JUU SIO TU KWA HAO WAWILI NILIO WATAJA BALI NI KWA KILA AMBAE ANAJUA SIO MUHUSIKA WA HUU UZI(TIMU PINZANI), HATUKATAZI MTU KUTOA MAONI ILA TUNACHOTAKA NI UTULIVU NA MTU KU BEHAVE KAMA MTU MZIMA NA MUACHE KUJIAIBISHA KWA LUGHA CHAFU.

Gpili uje hapa Ndugu kuna watu wanasumbua Ninaonaga wewe ndio Dawa Yao.

manutd |
#GGMU
Mkuu, ukijali Sana ya mitandaoni utakonda bure, kwanza watu wenyewe huwafahamu. Cha msingi wewe deal na idea yako uliyo nayo iwasilishe na maisha yasonge. Maana watu hutania kwenye nyuzi mbalimbali hata shabiki wa man u kumkuta Chelsea au kwingine ni kawaida.
 
Kuna muda mwingine muwe mna Heshima hata kidogo basi Mervin 42774277 Maana sioni kama ina sense Nyie sio Shabiki wa Manchester United kinachofanya kuja kwenye UZI WETU tena Mmetanguliza na hivyo Vitambi vyenu na videvu vyenye NDEVU huku mkiwa mmejibebesha na Vyeo cha U BABA mnachokuja kukizungumzia sasa yani wangejua hata watoto wenu wangewachapa hata Viboko yani ni kuendeshea MIJADARA yenu,kuhusu Timu zenu,tena MIJADARA yenyewe haina tija yeyote kwa upande wa Mashabiki wa Manchester United utakuta Posts ni nyingi ila ukiingia ni Posts za Kuzomea,Kubishana kwa Lazima vitu mnavyovijua yana ilimradi tu muonekane na Leo mpo.
Mfano haya maJibizano yenu Leo nimekuta Newest Posts 67 nikajua kuna vitu vya muhimu wadau wameongerea kuhusu Timu labda hata OLE SENDEKA kafukuzwa ila nakutana na kitu cha Ajabu kabisa nikuwa hakuna Cha maana Kilichozungumzwa na waliozungumza Sio Shabiki wa Manchester United bali ni VYIAWA wa OLE na majibizano yanahusu tinu zao,kitu ambacho kinaonyesha kabisa ni Dharau na kutuchukulia Poa Kwamba hatuna cha kuwafanya.
Hivi kinacho shindikana nini mngejuwa mna Bebana mnaenda kwenye Nyuzi ya Mmoja kati yenu Kama ni Nyuzi ya CHELSEA ama MANCHESTER CITY mkajaze vizuri hizo Post zenu na Mabishano yenu yasiyo na Faida kwetu maana naona ni kero tu,PIA mnapaita huku UNYUMBUNI lakini sioni kama kuna mmoja kati yenu ambae anaweza kuishi Jamii Forums bila kupita huku UNYUMBUNI ama panawanogesha nini tupeni siri ili na sisi tutoke humu tukakeshe kwenye Nyuzi zenu.

NOTE:NILIYOYASEMA HAPO JUU SIO TU KWA HAO WAWILI NILIO WATAJA BALI NI KWA KILA AMBAE ANAJUA SIO MUHUSIKA WA HUU UZI(TIMU PINZANI), HATUKATAZI MTU KUTOA MAONI ILA TUNACHOTAKA NI UTULIVU NA MTU KU BEHAVE KAMA MTU MZIMA NA MUACHE KUJIAIBISHA KWA LUGHA CHAFU.

Gpili uje hapa Ndugu kuna watu wanasumbua Ninaonaga wewe ndio Dawa Yao.

manutd |
#GGMU
Wewe ni kilaza tu ......

Katengeneze Uzi wako chumbani kwako hatutakuja kucomment ,lakin hapa jf tunaingia Uzi wowote ,hata moderator tunamfuata inbox sembuse nyie manyumbu......
 
Kuna kitu Conte anataka aprove kwa management yetu na doubters wake.....kazi itakuwa ndefu
 
Wakuu nawasalimia tu,
I also want to tell you that, I wish your spike of euphoria to continue to night, and if possible reversion to the mean to be delayed at least for one more week.
 
Sancho si kashapewa gametime anaruka ruka tu..au unataka kumsemea VdB?..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu mfumo Sancho hana namba na muda alipewa ila kama Telles, Dalot na VDB walipaswa waanze kuwapumzisha Bruno, Shaw na AWB. Ukiachana na masuala ya rotation huu mfumo wa beki 3 nyuma unawafaa zaidi Telles na Dalot maana nyuma tayari kuna vitasa kama Varane na Baily.

Weekend tuna game ngumu sana ilifaa tufanye rotation siyo kila siku sura zilezile. Ole muoga sana wa mambo.
 
Back
Top Bottom