Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matuta yepi tena.

Jamani Liverkuku mje mumuchukue shabiki mwenzenu huku.

Anawatia aibu.
Huelewi hata nachomanisha,Ndo maana nakwambia icho kichwa kama Cha Kim ni boksi.Haujui kama Chelsea kafika hatua ya robo fainali Kwa njia ya matuta??Unafikiria kutumia matako na sio kichwa.Kwa Sababu kichwa ni boksi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa maji at your peak....

Tunazungumzia EPL unazungumzia matuta na Robo fainali?

Inaonekana unapensa sana kugawa tako....

I rest my case.
 
Kwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?

Jamani hili jukwaa huyu mtu mlimuokota wapi?

Hebu kaangalie picha yako uliyopost.
Kwan wewe unataka kutuaminisha nin

TT ni mtoto mdogo tu kwa pep

Over

Thread closed
 
Kichwa maji at your peak....

Tunazungumzia EPL unazungumzia matuta na Robo fainali?

Inaonekana unapensa sana kugawa tako....

I rest my case.
Huelewii kichwa boksi,Yani huelewi kama tunazungumza mada mbili tofauti,mada ya kismatii na mada ya Tuchel na gurdiola!!! Kunywa MAJI ya KUTOSHA akilii ituliee kichwa boksi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile picha uliyopost umeokota wapi?

Maana inaonekana hata hujaiangalia.

Kichwa maji.
Ilee pichaa nimekuonesha jinsi Gani ambavyo Tuchel ni underdog Kwa gurdiola,Tuchel ana mengi ya kujifunza kutoka Kwa gurdiola,,,,Lakini Kwa kichwa chako boksi,huelewi,Wala hujui kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewii kichwa boksi,Yani huelewi kama tunazungumza mada mbili tofauti,mada ya kismatii na mada ya Tuchel na gurdiola!!! Kunywa MAJI ya KUTOSHA akilii ituliee kichwa boksi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....

Swali kuhusu tuchel na gurdiola niliuliza wamekutana mara ngapi toka tuchel aje epl?

Kama haya mambo madogo yanakushinda kuelewa basi una tatizo kubwa...
 
Wewe mbona unaweka vigezo ....

Battle ni

TT vs pep guardiola

Maswala sijui TT Yuko chooni mwingine bafuni ni uzwazwa
Hahahah.... Nimekubamiza mara tatu... na saiv wewe watoto wanajipigia tu.... week ijayo tena manyumbu yanajipigia wewe... tupo humu ndani...
 
Ilee pichaa nimekuonesha jinsi Gani ambavyo Tuchel ni underdog Kwa gurdiola,Tuchel ana mengi ya kujifunza kutoka Kwa gurdiola,,,,Lakini Kwa kichwa chako boksi,huelewi,Wala hujui kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichwa maji wako ndio unaingia hapo....

Uliletaje kitu ambacho hakipo kwenye mjadala?

For real we ni kichwa maji.
 
Back
Top Bottom