Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....

Swali kuhusu tuchel na gurdiola niliuliza wamekutana mara ngapi toka tuchel aje epl?

Kama haya mambo madogo yanakushinda kuelewa basi una tatizo kubwa...
Wewe game 10 unaanza kupita na kanga moja umeilowesha Kama mama j ....

Sisi tutakupelekea Moto .....
 
Kwa hiyo watu wakicheza games 6 wanakuwa wamekutana mara 3?

Jamani hili jukwaa huyu mtu mlimuokota wapi?

Hebu kaangalie picha yako uliyopost.
Swala la idadi ya mechi UMELISEMA wewe Kwa tafasiri zako finyuu.Mm sijalizungumzia Hilo.

Afu mazungumzo ni Kati yangu mm na ww.Izo jamani,Nyie za Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah.... Nimekubamiza mara tatu... na saiv wewe watoto wanajipigia tu.... week ijayo tena manyumbu yanajipigia wewe... tupo humu ndani...
Hahaaa ,Mimi nishavunja hilo daraja la Stamford bridge ,nakusubili Tena geto uje na kanga moja ,.....
 
Ndio maana nilisema toka mwanzo kwamba wewe ni kichwa maji....

Swali kuhusu tuchel na gurdiola niliuliza wamekutana mara ngapi toka tuchel aje epl?

Kama haya mambo madogo yanakushinda kuelewa basi una tatizo kubwa...
Huelewi kichwa boksi ww,Battle ni TT na Pep. TT ni underdog Kwa pep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ,Mimi nishavunja hilo daraja la Stamford bridge ,nakusubili Tena geto uje na kanga moja ,.....
Hahahah.... Acha watoto waendelee kujipigia kadri ya uwezo wao.

Umeona yule mtoto wetu wa Academy yupo pale Crystal palace alivyowanyoosha?

Mtajua hamjui...
 
Hiyo battle ni ya kwako wewe kichwa maji....
Hujui kujieleza ww kama ww mpakA kampaniii... Polee kichwa boksi,,,,Kila unacho kiandika unatafuta ka sapoti flani, usaidiwe.

Izo jamani zako,Oneni huyu,Toeeni huyu,

Nakupa polee Kwa mara nyingine.Acha kuforce support,pambana ww kama weweee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kujieleza ww kama ww mpakA kampaniii... Polee kichwa boksi,,,,Kila unacho kiandika unatafuta ka sapoti flani, usaidiwe.

Izo jamani zako,Oneni huyu,Toeeni huyu,

Nakupa polee Kwa mara nyingine.Acha kuforce support,pambana ww kama weweee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nileteeni shabiki mwingine wa Liverkuku siyo hii takataka...
 
Back
Top Bottom