Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Utashangaa msimu unaisha wanapata mashabiki bongo na Uzi wao uka creatiwa
Hana mbio ukilinganisha na bissaka.Kwa nini Bisaka asirudi kwenye back 3 na Lindelof acheze kama wingback??
Tuchel hamusumbuagi Sosha,Kama alimuweza na psg yake ya kina Neymar ndo amushindwe na Chelsea ambayo wafungaji ni mabeki.na game ya chelsea mje na mfumo huo na beki awe Maguire.
Tutawanyuka hamtoamini Kunguni nyinyi.
Sosha Huwa Kuna makocha ambao wanamsumbua(Klopp, Rogers na Arteta),Lakini Sio kina Tuchel ,Nuno,Gurdiola, Mourinho***** hawa kunguni watajua hawajui.
Tutapiga mpaka wajute
Jipeni tu hopes hata Guardiola alikuwawa anamsumbua sana Tuchel kabla hajaja Chelsea.Tuchel hamusumbuagi Sosha,Kama alimuweza na psg yake ya kina Neymar ndo amushindwe na Chelsea ambayo wafungaji ni mabeki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kutembelea history...Sosha Huwa Kuna makocha ambao wanamsumbua(Klopp, Rogers na Arteta),Lakini Sio kina Tuchel ,Nuno,Gurdiola, Mourinho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan si Juzi tu mlipigwa 1 bila na man city au sio nyie kwann unasema Guardiola hamsumbui Tuchel...????Jipeni tu hopes hata Guardiola alikuwawa anamsumbua sana Tuchel kabla hajaja Chelsea.
Lakini walipokutana akiwa chelsea ndio akajua hajui.
Lete statistics za Gurdiola Vs Tuchel wakati tuchel yupo Chelsea.Kwan si Juzi tu mlipigwa 1 bila na man city au sio nyie kwann unasema Guardiola hamsumbui Tuchel...????
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ole ana kikosi cha kuchukua UCL ila akili imeshakaza. Hawezi tafuta plan B mpaka kibarua kitake kuota nyasi.Cavani na CR7 huu muunganiko una shughuli ya kibabe sana. Ole kama ni mjanja ni wakati wa kufanya special training kwa Shaw na Bissaka kupiga cross za utosi ili ku-levarage uwepo wa Cristiano na Ed ktk box kwa wakati mmoja wote hawa wanajua sana kufunga kwa mipira ya vichwa.
Kwa kinachomtokea Sancho, usitegemee Dortmund wakawapa Halland kirahisi hivyo.4-2-3-1 ni mfumo mzuri unaoifanya timu kuwa vizuri katika maeneo mawili kwa pamoja: defensively na offensively. Kinachofelisha huu mfumo ni mapungufu ya watu sahihi kwenye namba ya kiungo mkabaji.
3-5-2 ni mfumo mzuri ila ni mfumo ambao kwa timu yetu unaweza usifanye kazi ipasavyo tukikutana na timu imara. Mfumo huu utatufanya tuwe defensively wazuri ila kucheza na playmaker mmoja huku tukiwategemea Shaw na AWB ni kama tutakosa vitu baadhi kwenye huu mfumo. Mfumo unahitaji zaidi LWB na RWB wanaopandisha mashambulizi na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa washambuliaji. Telles na Dalot ni option nzuri zaidi katika mfumo huu.
Kama Ole anataka ku-stick na huu mfumo kwa kuwatumia Shaw na AWB ni heri Pogba akirudi a-switch kwenda 3-1-4-2 ila itabidi McFred ivunjwe sasa sijui nani atafaa kusimama katika DM. 3-1-4-2 itatufanya tuwe hatari zaidi kwa kutumia playmaker wawili Pogba na Bruno maana kule mbele Ronaldo na Cavani wao wanasubiri kutengenezewa tu nafasi za kufunga.
January wafanye wapate DM tu-switch kwenye 4-3-3 naamini hii timu iliundwa kuja kutumia huu mfumo in the future. Next summer I hope tutapata a long-term striker (Haaland).
Endeeleeni kujipa moyoo,mnachukua Epl msimu huu.Labda kama Kuna kupiga tutaEndeleeni kutembelea history...
Sisi hatuna gundu kama Nyie Liverkuku....Endeeleeni kujipa moyoo,mnachukua Epl msimu huu.Labda kama Kuna kupiga tuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kubwabwaja,Wakati huna data!Lete statistics za Gurdiola Vs Tuchel wakati tuchel yupo Chelsea.
Kismart kinawabeba SAANA,Lakini kitaisha TU.Ligi Bado mbichii ndo game ya 10 Kati ya 30+,Muda utaongea TU...Sisi hatuna gundu kama Nyie Liverkuku....
Nimekuambia lete statistics za Guardiola na Tuchel wakiwa EPL... Hicho nini umeleta?
Hujui hata kusoma,Wee Unaona Nini kwani?Kuna Barcelona hapo au Bayern Wala psg?? Au ulitakaje?Nimekuambia lete statistics za Guardiola na Tuchel wakiwa EPL... Hicho nini umeleta?
Mashabiki wa Liverkuku ndio Vichwa maji hivi?