Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nileteeni shabiki mwingine wa Liverkuku siyo hii takataka...
Kauli za sapotii... Izoo... Nileteeeni.Wee ni mwanaumee.Huenda hata demu wako Sijui mkeo wanakugongea maana unapenda sapoti saana.Pambana ww kama weweee... Sapoti ya Nini.??

Taka taka Tangu linii ikawa jf,ulivyo kichwa boksi,,Unabwabwaja tuu inmradi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF hakuna mchujo wa takataka ndio maana hata watu kama wewe mpo humu.

Ila unfekuwepo mchujo usingekuwepo humu wewe.
 
Mnajisikiaje mkiona hivi nyie maibilisi wekundu
IMG_0972.png
 
Unaonekana unapenda sana maana huachu kuyataja... kama wanakupakua zungumza mapema vijana wachangamkie fursa humu.
Kichwa chako ni boksi, Kiko empty.Akili zako ziko matakoni(Kinyesi).Nikufafanulie ulikuwa huelewi nachomanisha unafikiria kutumia matako,maNa ake kichwa chako hakina kitu ILa kwenye matako Kuna Kinyesi ndicho unacho tumia.Acha kubwabwaja,Kunywa maji ya KUTOSHA UBONGO ufanye kazi vizuri.

Ndo maana nikasema unaonekana unapenda kupakuliwa... Tangaza tu humu nyumbu zichangamkie fursa....
 
Kuna muda mwingine muwe mna Heshima hata kidogo basi Mervin 42774277 Maana sioni kama ina sense Nyie sio Shabiki wa Manchester United kinachofanya kuja kwenye UZI WETU tena Mmetanguliza na hivyo Vitambi vyenu na videvu vyenye NDEVU huku mkiwa mmejibebesha na Vyeo cha U BABA mnachokuja kukizungumzia sasa yani wangejua hata watoto wenu wangewachapa hata Viboko yani ni kuendeshea MIJADARA yenu,kuhusu Timu zenu,tena MIJADARA yenyewe haina tija yeyote kwa upande wa Mashabiki wa Manchester United utakuta Posts ni nyingi ila ukiingia ni Posts za Kuzomea,Kubishana kwa Lazima vitu mnavyovijua yana ilimradi tu muonekane na Leo mpo.
Mfano haya maJibizano yenu Leo nimekuta Newest Posts 67 nikajua kuna vitu vya muhimu wadau wameongerea kuhusu Timu labda hata OLE SENDEKA kafukuzwa ila nakutana na kitu cha Ajabu kabisa nikuwa hakuna Cha maana Kilichozungumzwa na waliozungumza Sio Shabiki wa Manchester United bali ni VYIAWA wa OLE na majibizano yanahusu tinu zao,kitu ambacho kinaonyesha kabisa ni Dharau na kutuchukulia Poa Kwamba hatuna cha kuwafanya.
Hivi kinacho shindikana nini mngejuwa mna Bebana mnaenda kwenye Nyuzi ya Mmoja kati yenu Kama ni Nyuzi ya CHELSEA ama MANCHESTER CITY mkajaze vizuri hizo Post zenu na Mabishano yenu yasiyo na Faida kwetu maana naona ni kero tu,PIA mnapaita huku UNYUMBUNI lakini sioni kama kuna mmoja kati yenu ambae anaweza kuishi Jamii Forums bila kupita huku UNYUMBUNI ama panawanogesha nini tupeni siri ili na sisi tutoke humu tukakeshe kwenye Nyuzi zenu.

NOTE:NILIYOYASEMA HAPO JUU SIO TU KWA HAO WAWILI NILIO WATAJA BALI NI KWA KILA AMBAE ANAJUA SIO MUHUSIKA WA HUU UZI(TIMU PINZANI), HATUKATAZI MTU KUTOA MAONI ILA TUNACHOTAKA NI UTULIVU NA MTU KU BEHAVE KAMA MTU MZIMA NA MUACHE KUJIAIBISHA KWA LUGHA CHAFU.

Gpili uje hapa Ndugu kuna watu wanasumbua Ninaonaga wewe ndio Dawa Yao.

manutd |
#GGMU
 
Dawa ya hawa chawa ni kuwaweka kwenye block/ignore kimya kimya.
 
Back
Top Bottom